DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wanawake Qmanyoko yaan unauza Bei nafuu, hii ilibidi uweke kule jukwaa la biashara na matangazo MADOGO MADOGONaombeni kufaham utaratibu please isije niletea shida baadaye kwenye ndoa yangu.
Tukupe maua yako gan ?Huu Muda watu tunasikiliza nyimbo ya Roma "nipeni maua nyangu"
Fatilia siasa kuwa update na mambo muhimu kwanzaTukupe maua yako gan ?
Hook up maana yake Malaya Sasa huyu hili ni tangazo kalifanyia modifications tu, tuliosoma Cuba tumemwelewa amelenga niniUkienda kulalamika we mwenyewe utafunguliwa kesi moja inaitwa "Kuishi kwa kufanya umalaya"
Andaa kabisa wadhamini wakakuwekee dhamana mahakama ya mwanzo
Siasa zipi niliingia kule nikapigwa banFatilia siasa kuwa update na mambo muhimu kwanza
Basi fatilia habari za ngonoSiasa zipi niliingia kule nikapigwa ban
Hili ni TANGAZO kwa wanunuzi watakua washajaa PMTulikubaliana tusizae ni kuhook up tu pekee
Sina mpango labda habari za Biashara na UchumiBasi fatilia habari za ngono
Hizo ndo habari Safi achana na ngono ,ngono ni kwa ajili w ya watu ambao hawana mikakatiSina mpango labda habari za Biashara na Uchumi
Sina habari ya Ngono mbon umenikomalia we una habari gan kwan ?Hizo ndo habari Safi achana na ngono ,ngono ni kwa ajili w ya watu ambao hawana mikakati
Habari Ni kuikataa dhambi ya zinaaSina habari ya Ngono mbon umenikomalia we una habari gan kwan ?
Ushawahi kununua ?Habari Ni kuikataa dhambi ya zinaa
Mimi Mungu Bado anipigania sihishi Katika uchafu . Ndo maana nimechagua kulitangaza jina lake.Ushawahi kununua ?
Nimeoa mke wangu ana ujauzito kwa sasa, pray the Lord...Mimi Mungu Bado anipigania sihishi Katika uchafu . Ndo maana nimechagua kulitangaza jina lake.
Mungu ni Mwema Good to hear , nawataikia maisha ya Amani na Furaha.Nimeoa mke wangu ana ujauzito kwa sasa, pray the Lord...
Ameeeeena mkuu, God bless youMungu ni Mwema Good to hear , nawataikia maisha ya Amani na Furaha.
Nmegundua hili jamaa limeleta mada ni pungazeze,Huyu mliachana?
Jamani naombeni mnipe maneno ya kuombea msamaha...
Mko pouah? Mimi nina mpenzi wangu tuna miaka 3 sasa, ni naibu waziri wa wizara Fulani apa nchini. Sasa jana asubuhi ulitokea ugomvi baina yetu, kwa hasira ktk kujitetea nikamuwai kwenye kende zake, nikampiga kateke kadogo tu,akaanguka.nikajua nimeua. Sikuweza kurudi mpaka mda huu na niliondoka...www.jamiiforums.com