Kaninyanyasa kijinsia nawezaje kumshtaki?

Hata sijui nacheka nini.....
 
Unalo hiliii dyadya, kila siku mnaambiwa kukojolea nje, ni sawa na boda boda yuko mwendo kibati afu aruke, thubutuuuuu.

Poleee subiri kulea mimba ya baba mtu mzimaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anapewa mimba kimasikhara ....imelala yooooo
 
Mliandikishiana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…