Kanipiga na mwiko nikimuuliza kwa nini! Eti alikuwa ananiamsha msosi tayari

House girl anakuona wewe ni bwege,kwani umekuwa lakini bado unabanana na wazazi tu hadi umri huo.kwahiyo sasa beki tatu anaona wewe hustahili kupewa chakula cha bule.
 
ila mada zingine daah zinachekesha sana..hii ndyo jamiiforum
 
Kwani mkuu ni kosa kwenda kula home!!
 
Haaa sasa ndo anipige na mwiko!!yani kikwetu ukipigwa na mwiko ni uchuro sana asee
 
Ww utakua n mwanaume wa dar mikoani hamna vitu kama hivo
 
Bora mimi wa dar! Nyie huko mikoani kubwa zima bado mnacheza rede na dadazenu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…