Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fire fire fire shetani shindwa piga baba uwa baba nyonga kabisaHawasemi kwa kukuonea wivu lkn pale shetani aka Lucifer atakapowatembelea na kumpachika mkeo li roho la gubu, full kununa mwanangu, roho ya wivu yaani ht upigiwe simu na Mama yako atataka asikilize!
Hata wewe pale shetani atakapokukinaisha na penzi lake halafu ukaanza misele na demuz nyingine hapo ndo machungu huanzia
Nikiwa nimelewa ndionajaribu...🙈Kumbe buroo unajua kingereza hivi doh [emoji23][emoji23][emoji23]???
Sio kwa kutumia mizimu, bali kaniroga kwa utamu utamuni. Sauti yake tamu hulindima mithiri ya bubujiko la chozi lenye kuleta furaha!.
Jina lake zuri nimeliandika katika kikiminika cha damu yangu! ngozi yake haina ajenda ya ulaghai bali hunigusa
"NAKUPENDA" na ni Mimi tu nisiechoka kukuambia "NAKUPENDA PIA MKE WANGU"😊
NAKUPENDA SANA KOMAMANGA WANGU.
Ndiyo, Mkuu!Sharing is caring ausio!!! !!
Mkuu, Huyu mkuu KENZY ametukazia sana.Wiki jayo mbali
Hakuwa katika matamanio yako ndio sababu hukumpa mikito, vinginevyo ungempa boloyanki heavy sanaIlikuwa ni sehemu ya utani tu ili kuunogesha uzi wa mkuu KENZY
JF ndiyo burudani yetu, Ni sehemu ya kujifunza mawili matatu, Na zaidi sana ni mahali pa kupunguzia misongo.
Shemeji haliwi mkuu hivyo usituchukulie isivyo.
Isitokee kesho na keshokutwa ukatumaindi au ukashindwa kutupatia msaada hata wa ya huduma ya kwanza wakati tumekata moto ukijua tulimuwazia shemela wetu.
mahondaw ilikuwa ni sehemu ya kuusogeza muda na kunogesha uzi wa mkuu wetu, Hivyo tunaomba msituchukulie tofauti.
Miaka 6-8 hivi nyuma, Mke wa jamaa yangu alitaka kunitia majaribuni, Jamaa yake alikuwa na VIDOSHO lukuki nje.
Mimi nikamtembelea SHEMELA kumliwaza na kumsaidia vishughuli maana watoto wake walikuwa shule za boarding.
Nikaosha tu vyombo pale na kusugua sugua sufuria, Lakini shemela aka-change, macho legevu na mikogo ya hapa na pale.
Akaniuliza, Kwa hofu, "nikikupa utaweza"? Nikasema "SIWEZI"
Nikasema, "NAENDA DUKANI NARUDI", Niliunga kwa MZEE JUMLA wala SIKURUDI.
Tunaanguka hatiani kwa namna tofauti.
Hapana, Mkuu!Hakuwa katika matamanio yako ndio sababu hukumpa mikito, vinginevyo ungempa boloyanki heavy sana
Mkuu v fasta ndo nini..?Hapana, Mkuu!
Siyo shemeji huyo tu bali ni wengi wanaotaka.
Niseme tu nina bahati mbaya sana mimi, Huwa sipendwi na wasichana, Huwa napendwa na MASHEMEJI TU, WAKE ZA WATU, na Na wale walokosa radhi kwa mama zao a.k.a (VFASTA).
Nikitongoza mwanamke ambaye hazaa au hajaolewa huwa sikubaliwi, Na hata wasichana huwa hawanikubalii ila nikijaribu tungo kwa WANAWAKE walioolewa, Dah, Wanakubali haraka sana.
Unakuta umemtongoza mwanamke na haujamuuliza, "Umeolewa"? Au "Una mpenzi"?
Mkianza kuchat na ukatuliza akili, "Ukimuuliza una mtu wako" anakwambia, ndiyo. Inabidi ukae kando tu wala usiharibu mahusiano ya watu.
KENZY Mkuu, Ni Voda hiyo mkuu!Mkuu v fasta ndo nini..?
Umecheka nini best akee? Nichekeshe namimi niongeze siku eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si mkono wangu ni mkono wa Dinazarde ndiyo anadai umezeeka lakini siamini ule mkono ulikuwa bado mma kabisa. Ila nimecheka front lol hahahahaha
Umecheka nini best akee?