Kanisa hilo ..... Eeee MUngu awasaidie

naomba nitoe ushuhuda baada ya somo na mahubiri ya charmingLady mwisho wa ibada.
 
Nawahurumia waumini.....
Hivi wataruhusu mabinti na wake zao wasali huko?
Ukizingatia paroko na msaidizi wake mmmmm
mmmmmmh..... Kondoo watapotea....

mmm mmm mmm Bishanga una lipi la kusema hapa...
 
Last edited by a moderator:
Wale wenzetu wataandamana kisa jf inaleta mada za Kigalatia mi sipo , wale jamaa wapo sensitive kweli.
 
sina hofu wala mashaka bebii...
naahidi kukaa benchi la kwanza kila siku...nipate upako wote hadi wa nyongeza....
Thats my girl....

Hivi haka kandude ka njano bado unako au nikakununulie kengine? Hivi unaikumbuka hii siku lakini? Wenye wivu wameze viwembe, sie twasonga mbele...
 
bebii ninunulie cha pinki ili niwe navyo vitatu......

wenye wivu wameze viwembe ...loh





Thats my girl....

Hivi haka kandude ka njano bado unako au nikakununulie kengine? Hivi unaikumbuka hii siku lakini? Wenye wivu wameze viwembe, sie twasonga mbele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…