Tetesi: Kanisa Katoliki kutoa waraka utakaotetemesha nchi

Status
Not open for further replies.
Hakika huo ni msumari wa moto na dawa mujarabu sana. Tuzidi kumwomba Mungu atuepushe tusifike huko. Amina.
 
Kwakuwa nyinyi ni wanafiki makengeza kwenye kuongea Ukweli !!

ndiomana CCM uwa tuna njia zetu kabambe atutegemei maoni ya Dini yoyote mana wenyewe kwenye Dini Watanzania wanawapuuza Sababu misimamo yenu imejaa Unafiki chuki upendeleo Udini wenu.

Sio kutetea haki za Binadamu

matukio mengi yametokea wamekaa kimyaaa

Mauaji Msikiti wa Mwembe chai wamekufa Watanzania wao wapo kimyaaa !!!!

Mauaji ya pemba kwenye mambo ya Uchaguzi maskofu na TEC yao kimyaaaa

leo watwatwambia nini Sisi tunawajua waongozwa na chuki na njaa tu wamechoka kula Matembele wanataka kula Vidali kuku kienyeji sasa wasubili mpaka 2030+ ebo.
 
"ROMA LOCUTA,CAUSA FINITA"🙏🙏🙏
 
Porojo tu waendelee tu kujichanganya watoe mikaratasi ya kutosha lkn October 28 tunatiki kwa wingi sana.
Sio wa kubeza hata hivyo

Wanaweza kufanya watu wasiende kupiga kura
 
W
Wanaopuuzwa ni wapuuzi na wanafiki haki kwao kiongoz akiwa Muislamu ndio wanapanda chuki kwa Waumini wao.

Watu kama awa si kuwapuuza tu Watanzania ni wamoja wao wanapanda Chuki kutenganisha Jamii kipindi cha Jakaya ivyo ivyo mikelele mingi miwaraka kama yote!!

lkn Jakaya Uchaguzi bado kashinda na mgombea wao Dk Slaa waliokuwa Wanamuunga mkono waziwazi kwenye Waraka zao kila Jpili kupitia Chadema kaangukia puaa.

So sisi tumewazoea ayo medebe tupu

nyinyi watoto ndio mnaangaiiiiiiiiika pamaja na yote lkn wanamipaka yao mbele ya Serikali.
 
Haitasaidia chochote. Fr. Kitima asitulazimishe RC wote tumfuate yeye kama mwanachama wa Chadema. Yeye aendelee na chama chake cha Chadema na wala asifikiri wakatoliki wote tunaiunga mkono Chadema na msaliti Lissu.
 
Sio wa kubeza hata hivyo

Wanaweza kufanya watu wasiende kupiga kura
Wana CCM wataenda niamini mimi watanzania wamesha elimika sana!!!

chunguza wagombea Ubunge na Udiwani wengi ni Waislam au Wakristo ???

utagundua ni Wakristo ndio wengi sana Wagombea wale hawana ndugu zao ??

Chaguzi tunazijua sisi wanaCCM kwaiyo kelele zao tuwapuuze ili tubaki kuwaheshimu tu.

Sababu wao sio Wanasiasa ivyo Siasa hawazigui kindanindani!!

.Kuna wakati Familia imafilisika leo wasiende kupiga kura itawezekana kweli. Wkt uwo jamii ya KISLAM wapo huru kupiga kura.!!

Makosa wanafanya waziwazi Wanajidhalilisha tu kwa Waumini wao wenye Familia za wagombea.
 
Huko hakuna mwenye PhD ya kupewa, lipi hapo gumu kueleweka?

Pole kama ushalawitiwa.
Utajuaje wamesomea wapi kwani wakapewa izo PhD??? Chuo chao wenyewe watakosaje PhD¿¿¿¿¿
 
nani anaweweseka sasa kati ya kanisa katoliki au serikali? mi navyojua kanisa ndo linaweweseka hasa baada ya masalahi yake ya ujanja ujanja kuguswa maana mapadre walikuwa wanaishi kama wafalme wanahonga sana wanawake na kuwajengea majumba. Sasa mama kaweka mambo sawa wamepoteana. Kanisa lilikuwa linanufaika sana kwa wimbi la vijana wasio na ajira ili kuwaajiri katika shuk zao na kuwanyayasa kwa kuwalipa hela kiduchu sasa hilo kwa sasa haliwezekani kwani ajira sasa hivi kila kona ya nchi hiii
 
..mtawachukulia hatua, na mabadiliko yatafanyika mapema zaidi.

..wakiendelea na uoga wao wa kutoa nyaraka na kuongea kwa mafumbo hakuna kitakachofanyika.
Ukisema nyaraka hazina umuhimu, ni jambo linalonitia wasiwasi kuhusu uelewa wako wa namna Kanisa linavyofanya kazi, au huenda umekurupuka. Ukweli ni kwamba nyaraka ni miongoni mwa nyenzo muhimu za kufikisha taarifa kwa waumini wa Kanisa Katoliki waliosambaa nchi nzima, mijini na vijijini. Nyaraka hizi husomwa kuanzia ngazi ya Jimbo, Parokia, Vigango hadi Jumuiya. Ni nyenzo ya kufikisha taarifa kwa uwiano mpana kwa waumini wote. Nyaraka sio kwa watu kama nyie kama huoni umuhimu wake unatuliza Hilo fuvu.
 
Unachopaswa kuelewa ni kwamba Serikali hii ya awamu ya sita itamaliza muda wake baada ya miaka mitano, lakini Kanisa litaendelea kuwepo
 
Unachopaswa kuelewa ni kwamba Serikali hii ya awamu ya sita itamaliza muda wake baada ya miaka mitano, lakini Kanisa litaendelea kuwepo
kanisa niujinga bora kuwa mpagani tu
 
RC wanajikuta wao ndio raia first class.Waliaibika sakata la DP World na hili la uchaguzi litawaumbua pia.
 
Kanisa lifanye wajibu wake ila tu lisipandikize mbegu ya udini maana ikiota usalama utakuwa mashakani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…