kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Swali la kijinga saana!!2020 walikua wapi?
Sawa Mkuu, ngoja tuone kifuatacho ITVNakwambia hakuna kitu zaidi ya kuzowea kudekezwa,sasa mama hadekezi akitiwa ujasiri na jk, ndiyo unaona povu kwa JK
Walidekezwa tangu awali, huwezi kuwa na taifa la hivyo, kesho madhehebu mengine yatataka huko kudekezwa,mtakua na nchi?..wanachotegemea ni wafuasi wao kupiga kelele kama uonavyo sasa,na labda wagomee serikali kwa nyadhifa/nafasi zao,huo utii haupo
hatua yenyewe ndio hii: HAKUNA KUFANYA UCHAGUZI BILA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOLIANDAMA TAIFA. (HP NA WENGINE WALISHAZISEMA). MAMLAKA ZIKILAZIMISHA KUFANYA UCHAGUZI, WAKATOLIKI WOTE NCHINI PAMOJA NA RAIA WENYE NIA NJEMA NA TAIFA HILI TUFANYE MAANDAMANO YA AMANI NCHI NZIMA SIKU HIYO YA TAREHE29/10/2025. baada ya hapo tutajua cha kufanya...Nyaraka zimepitwa na wakati, na zimezoeleka.
..Wachukue hatua, kwa kufanya jambo jipya.
Vyama vya kihuni na wagombea wajinga!?..una akili timamu wewe!?..chama cha kihuni kinapataje usajili!?.. mgombea kufungwa,mgombea gani kafungwa!?..mtu akichukua form ya kugombea kisha akavunja sherii asichukuliwe hatua!?..nyi mna nini vichwani,maji!?Swali
Swali la kijinga saana!!
kwahiyo uovu uendelee kwakuwa haukuondolewa 2020?
Watu wafe wangapi ndio wanywa damu mtashtuka?
Mpinzani mkuu alifungwa tulipoelekea uchaguzi?
Vyama vya kihuni na wagombea wajinga kama mwalimu tuliwaona?
Tuache unafiki na uzandiki ni aibu familia Moja itoe wabunge wawili wasiopingwa huku hawana maajabu yoyote
Ukitetea uovu wewe nimtu wahovyo tuu
Nchi imeshatetemeka sanaHeshima sana wanajamvi,
Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million
WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.
Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Kila siku nchi ina changamoto, palikua na changamoto ya mauwaji ya albino na uchaguzi ulifanyika,kama hamtoandamana kwenye vituo vya kura bali barabarani, basi endeleeni,sisi na kobazi zetu tutaenda piga kurahatua yenyewe ndio hii: HAKUNA KUFANYA UCHAGUZI BILA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOLIANDAMA TAIFA. (HP NA WENGINE WALISHAZISEMA). MAMLAKA ZIKILAZIMISHA KUFANYA UCHAGUZI, WAKATOLIKI WOTE NCHINI PAMOJA NA RAIA WENYE NIA NJEMA NA TAIFA HILI TUFANYE MAANDAMANO YA AMANI NCHI NZIMA SIKU HIYO YA TAREHE29/10/2025. baada ya hapo tutajua cha kufanya.
serikali isiojali wananchi ni serikali ya kuzimu hiyo.
Wewe ni MAAMUMA superNovena haijafanya kazi?..acha watoe nyaraka, dying horse,nchi hii si ya kanisa
Ila ni ya majizi ya kura.Novena haijafanya kazi?..acha watoe nyaraka, dying horse,nchi hii si ya kanisa
Zamu yako lini kubeba msalaba wa jumuiya kuhaha nao mtaani?Wewe ni MAAMUMA super
Utaibwa hadi wewe ikilazimikaIla ni ya majizi ya kura.
Kila siku nchi ina changamoto, palikua na changamoto ya mauwaji ya albino na uchaguzi ulifanyika,kama hamtoandamana kwenye vituo vya kura bali barabarani, basi endeleeni,sisi na kobazi zetu tutaenda piga kura
Endelea kunyonya kidolesawa, ila ujue Babeli ishaanguka. ni madhihirisho tu sasa.
Wewe umejaza tope kichwani na huna hofu ya Mungu.Vyama vya kihuni na wagombea wajinga!?..una akili timamu wewe!?..chama cha kihuni kinapataje usajili!?.. mgombea kufungwa,mgombea gani kafungwa!?..mtu akichukua form ya kugombea kisha akavunja sherii asichukuliwe hatua!?..nyi mna nini vichwani,maji!?
Jumuiya ndio Nini?! Na msalaba upo hubebwa?!Zamu yako lini kubeba msalaba wa jumuiya kuhaha nao mtaani?
Kwamba unaamini mtaishi kwa wizi muda wote na watu wanyamaze kama makondoo?Utaibwa hadi wewe ikilazimika
Huwezi weka hatima ya nchi mikononi mwa wapumbavu kupitia karatasi ya kuraKwamba unaamini mtaishi kwa wizi muda wote na watu wanyamaze kama makondoo?