Tetesi: Kanisa Katoliki kutoa waraka utakaotetemesha nchi

Status
Not open for further replies.
Hawana jipya hao, ni debe tupu tu.
Na wausome waraka wao makanisa yote kwa wiki sita kama ule wa bandari but nothing will change
 
Sasa kama unataka tukutundike na wewe msalabani ingia barabarani
 
Hawana jipya hao, ni debe tupu tu.
Na wausome waraka wao makanisa yote kwa wiki sita kama ule wa bandari but nothing will change
Mungu wa mbinguni yupo maombi yanaweza chukua hata miaka kumi kama jibu lipo lipo tu naamini Mungu atatenda.
 
Acha ushabiki wa *******, huo waraka ni tetemeko la ardhi? We ni zombie kweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…