Mene mene tekel upharsinKanisa katoliki lione hivyo hivyo mnavyoliona , halina muda kubishana na yoyote lkn linaweza ku influence chochote na kikawa vyovyote.
Nakumbusha maombi yanaisha mwezi August.
Tumsifu yesu kristu.
"Tumalize hapa hapa "Kanisa katoliki lione hivyo hivyo mnavyoliona , halina muda kubishana na yoyote lkn linaweza ku influence chochote na kikawa vyovyote.
Nakumbusha maombi yanaisha mwezi August.
Tumsifu yesu kristu.
Unajua ni kwamba tu hatujuani humu lakini hebu angalia kwa hizi nyuzi za watu walioibuka ibuka miezi hii miwili sio kwa bahati mbaya kuna mazito "inaonekana kweli yanakuja" kuna watu wanajiandaa watorokeKelele za wazi na za mafichoni zimezidi, hivi haiwezekani mtu kutupa taulo kama biden dakika za mwisho?