Kanisa Katoliki limetoa maagizo ya tangazo la misa ya kuwaombea watu waliouwawa Octoba 29

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
3,029
Reaction score
8,823
KANISA KATOLIKI LIMETOA MAAGIZO YA TANGAZO LA MISA YA KUWAOMBEA WATU WALIOUWAWA OCTOBA 29.10.2025

Misa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana

Soma Pia: Makanisa ya CCT kuwakumbuka waliouawa, kumwaga damu Oktoba 29, 2025

1000087347.jpg
 
KANISA KATOLIKI LIMETOA MAAGIZO YA TANGAZO LA MISA YA KUWAOMBEA WATU WALIOUWAWA OCTOBA 29.10.2025

Misa nchi zima, Kanisa limeagiza Kesho watangaziwe kwenye jumuiya ndogo ndogo, jumapili tutangaze kanisani, na wiki yote inayofuata Itakuwa ya kutangaziana

Kwa neema na baraka za Mungu, katika ibada hiyo ya misa takatifu wawaombee pia wale wote walioathirika kwa dhuluma za kingono kama vile kupigwa mimba na kutelekezwa au kulawitiwa na mapadre na wote wenye nafasi katika kanisa. Msisahau kuwaombea victims hawa ambao wamesahaulika kabisa,

Mungu Mwenyezi wa milele awajalie moyo wa msamaha na kuwapunguzia athari za kisaikolojia wanazopitia baada ya kufanywa kitu mbaya na mapadre, nadhani itapendeza zaidi.

Aidha nawataikia ibada ya misa takatifu njema🐒
 
Kama ni Kweli ndiyo basi tena..Hii Ni Full Battle for sure...Ni CCM vs VATICAN- Katika udwanzi wake wa kutokukubali Kushindwa kitu...Poleni CCM kwa kutokujua mnapambana na Nani! ..
Hamna uwezo wa kupambana na R.C hata uchawi wako Njema kuliko yoyote kwenye Dunia hii.
Mtaoteshwa Ndoto za hata Samia ana pigwa Bo..low na Kitima na anayempanua miguu Ni The Late J.K Nyerere na Wassira.
 
Aiseeee
 
Kwa neema na baraka za Mungu, katika ibada hiyo ya misa takatifu wawaombee pia wale wote walioathirika kwa dhuluma za kingono kama vile kupigwa mimba na kutelekezwa au kulawitiwa na mapadre na wote wenye nafasi katika kanisa. Msisahau kuwaombea victims hawa ambao wamesahaulika kabisa,

Mungu Mwenyezi wa milele awajalie moyo wa msamaha na kuwapunguzia athari za kisaikolojia wanazopitia baada ya kufanywa kitu mbaya na mapadre, nadhani itapendeza zaidi.

Aidha nawataikia ibada ya misa takatifu njema🐒

Nyie wehu kabisa...Mngeachana na Ukatoliki ..Nili msikitikia mno Hata Mama yenu kuwa zodoa eti Wasi mu over ride.
Wale wakiamua Samia Moyo Usimame....Ni Sekunde sifuri mnazika au wakiamua kupiga msafara wa Raisi Fataki ya Ajali mtaenda kukokota ubongo.Mzee Mpango akisoma hapa au Dr.Slaa watanielewa.
 
Hii imeshakua ngumu hii . Watu wamegoma kumove on. Sijui watazuia misa ngoja tuone
 
Nyie wehu kabisa...Mngeachana na Ukatoliki ..Nili msikitikia mno Hata Mama yenu kuwa zodoa eti Wasi mu over ride.
Wale wakiamua Samia Moyo Usimame....Ni Sekunde sifuri mnazika au wakiamua kupiga msafara wa Raisi Fataki ya Ajali mtaenda kukokota ubongo.Mzee Mpango akisoma hapa au Dr.Slaa watanielewa.
Gentleman,
tunaelekea kwenye ibada ya misa takatifu hakuna haya ya porojo na uongo useless jukwaani, nadhani itapendeza zaidi🐒
 
Back
Top Bottom