Kanisa Katoliki litoe tamko suala la Mandojo kuuliwa na mlinzi akishirikiana na waumini waliokuwa wameenda misa ya kwanza

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena ndani ya eneo la kanisa.

Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya kisiasa rafiki kwa kanisa letu.

Pia soma=> Polisi Dodoma yamshikilia Mlinzi wa Kanisa kwa tuhuma za mauaji ya msanii Man Dojo
 
Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi.

Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya kisiasa rafiki kwa kanisa letu.
Mwambieni swahiba wenu mzee Pengo, usituchoshe kwa unafiki wako humu.
 
Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena ndani ya eneo la kanisa.

Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya kisiasa rafiki kwa kanisa letu.

Pia soma=> Polisi Dodoma yamshikilia Mlinzi wa Kanisa kwa tuhuma za mauaji ya msanii Man Dojo
Mnakwepa sana kusema matatizo aliyokuwa nayo msanii wenu.
 
Ila kuna mambo mengine yanafikirisha, yanahitaji majibu sahihi. Na mojawapo ni jilo la Mandojo kukutwa ndani ya kibanda cha mbwa. Je, alifuata nini kwenye hicho chumba cha mbwa saa 11 asubuhi, hiyo siku ya Jumapili? Na ikumbukwe miaka ya hivi karibuni, Kanisa limepitia misukosuko mingi ya baadhi ya watu kuvunja milango ya Kanisa, na kufanya uharibu Kanisani.

Na kupitia taarifa ya polisi, inaonekana kulitokea vurumai kati ya huyo Mandojo na mlinzi!! Nini chanzo cha hiyo vurumai kiasi cha kusababisha mlinzi kuomba msaada?
Na kwa wasiofahamu, hiyo Parokia inalindwa na kampuni ya ulinzi (jina silikumbuki)!! Na siyo wale walinzi wazee kama mimi.

Ishu nyingine ni kwamba Mandojo kabla ya kupelekwa hospitali, alipelekwa kwa kituo cha polisi (bila shaka alipelekwa akiwa kama mtuhumiwa)!! Ila baada ya hali yake kuonekana haiko sawa, ndiyo akapelekwa hospitali ya Mkoa Dodoma, maarufu kwa jina la hospitali ya General!! (Hospitali yenye rekodi mbovi kabisa ya kuponya wagonjwa)!! Bora hata wangempeleka hospitali ya Benjamin Mkapa.
 
Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena ndani ya eneo la kanisa.

Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya kisiasa rafiki kwa kanisa letu.

Pia soma=> Polisi Dodoma yamshikilia Mlinzi wa Kanisa kwa tuhuma za mauaji ya msanii Man Dojo
Hujaeleza ilikuaje, lakini kama ni kweli damu ya mtu imemwagwa basi ni budi kutafuta haki ya aliyeuawa na waliotekeleza mauaji wapitiwe na sheria.
 
Jamaa yake wa jirani amezungumza kuwa jamaa alikuwa na file jirani na hapo Teeth so akinywa chimpungu tu anakuwa psychiatric
Hilo mashabiki wake na wasanii wenzake hawataki kulisema wanalikwepa sana.

Kuna haja ya jamii/ndugu kuwa karibu na vijana wao wenye matatizo kama haya ili kuepuka majanga na kuishia kulaumu.
 
Imani ina nguvu dadeki, wale waliokua wanalaani watu kujichukulia sheria mkononi, taarifa ilipotoka kua kanisa nalo linahusishwa, watu wanabadili gia angani na shutuma zinarudi kwa msanii.

Vyovyote iwavyo huna haki ya kuua mtu au kumuadhibu kwa lengo la kuua labda iwe kujilinda, unajilinda vipi kwa mlevi asie na siraha..

Katoriki njooni na story iliyonyooka, ni kipi kimefanya mumdunde msanii wetu, kwamba alitaka kuiba mbwa??
 
Kweli kabisa
 
Mkuu unaweza tueleza hapo kwenye suala la kukutwa kwenye banda la mbwa. Ilikuwaje msanii wetu usiku wa gizani akawa kwenye banda la mbwa?
 
Imani ina nguvu dadeki, wale waliokua wanalaani watu kujichukulia sheria mkononi, taarifa ilipotoka kua kanisa nalo linahusishwa, watu wanabadili gia angani na shutuma zinarudi kwa msanii.

Vyovyote iwavyo huna haki ya kuua mtu au kumuadhibu kwa lengo la kuua labda iwe kujilinda, unajilinda vipi kwa mlevi asie na siraha..

Katoriki njooni na story iliyonyooka, ni kipi kimefanya mumdunde msanii wetu, kwamba alitaka kuiba mbwa??
Kama "Baba mtakatifu" wao anasapoti homosexuality unadhani waumini wana akili gani?
 
Mnakwepa sana kusema matatizo aliyokuwa nayo msanii wenu.
Hapana kwahiyo mtu akiwa na matatizo ndio auliwe? Embu tuambie alifanya jambo gani la kustahili kuuliwa kinyama namna ile
Kukutwa kwenye eneo la kanisa? Hata kama angekuwa kaiba kanisani ingawa haikuwa hivyo hajustahili kuuliwa
Unatoa uhai wa mtu endapo maisha yako yangekuwa hatarini na si vinginevyo, tukemee hizi tabia kuna siku utagombana na mtu atakuitia mwizi watu wakuue , hizi ni tabia za kimasikini, masikini mara nyingi wana roho mbaya sana, maana hata wakati wanampiga hakuna hata mmoja aliyeuliza jamani tunampigia nini? Wote wanafuata mkumbo tu, waliohusika wakamatwe na wafungwe iwe fundisho
Kuna tofauti gani kati ya hawa waliyompiga bila ya sababu na bodaboda wanaoua watu na kuchoma gari kisa ajali?
 
Back
Top Bottom