Mwambieni swahiba wenu mzee Pengo, usituchoshe kwa unafiki wako humu.Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi.
Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya kisiasa rafiki kwa kanisa letu.
Mnakwepa sana kusema matatizo aliyokuwa nayo msanii wenu.Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena ndani ya eneo la kanisa.
Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya kisiasa rafiki kwa kanisa letu.
Pia soma=> Polisi Dodoma yamshikilia Mlinzi wa Kanisa kwa tuhuma za mauaji ya msanii Man Dojo
Jamaa yake wa jirani amezungumza kuwa jamaa alikuwa na file jirani na hapo Teeth so akinywa chimpungu tu anakuwa psychiatricMnakwepa sana kusema matatizo aliyokuwa nayo msanii wenu.
Hujaeleza ilikuaje, lakini kama ni kweli damu ya mtu imemwagwa basi ni budi kutafuta haki ya aliyeuawa na waliotekeleza mauaji wapitiwe na sheria.Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena ndani ya eneo la kanisa.
Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya kisiasa rafiki kwa kanisa letu.
Pia soma=> Polisi Dodoma yamshikilia Mlinzi wa Kanisa kwa tuhuma za mauaji ya msanii Man Dojo
CC FaizaNashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena ndani ya eneo la kanisa.
Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya kisiasa rafiki kwa kanisa letu.
Pia soma=> Polisi Dodoma yamshikilia Mlinzi wa Kanisa kwa tuhuma za mauaji ya msanii Man Dojo
Hilo mashabiki wake na wasanii wenzake hawataki kulisema wanalikwepa sana.Jamaa yake wa jirani amezungumza kuwa jamaa alikuwa na file jirani na hapo Teeth so akinywa chimpungu tu anakuwa psychiatric
Kweli kabisaImani ina nguvu dadeki, wale waliokua wanalaani watu kujichukulia sheria mkononi, taarifa ilipotoka kua kanisa nalo linahusishwa, watu wanabadili gia angani na shutuma zinarudi kwa msanii.
Vyovyote iwavyo huna haki ya kuua mtu au kumuadhibu kwa lengo la kuua labda iwe kujilinda, unajilinda vipi kwa mlevi asie na siraha..
Katoriki njooni na story iliyonyooka, ni kipi kimefanya mumdunde msanii wetu, kwamba alitaka kuiba mbwa??
Mkuu unaweza tueleza hapo kwenye suala la kukutwa kwenye banda la mbwa. Ilikuwaje msanii wetu usiku wa gizani akawa kwenye banda la mbwa?Imani ina nguvu dadeki, wale waliokua wanalaani watu kujichukulia sheria mkononi, taarifa ilipotoka kua kanisa nalo linahusishwa, watu wanabadili gia angani na shutuma zinarudi kwa msanii.
Vyovyote iwavyo huna haki ya kuua mtu au kumuadhibu kwa lengo la kuua labda iwe kujilinda, unajilinda vipi kwa mlevi asie na siraha..
Katoriki njooni na story iliyonyooka, ni kipi kimefanya mumdunde msanii wetu, kwamba alitaka kuiba mbwa??
Kama "Baba mtakatifu" wao anasapoti homosexuality unadhani waumini wana akili gani?Imani ina nguvu dadeki, wale waliokua wanalaani watu kujichukulia sheria mkononi, taarifa ilipotoka kua kanisa nalo linahusishwa, watu wanabadili gia angani na shutuma zinarudi kwa msanii.
Vyovyote iwavyo huna haki ya kuua mtu au kumuadhibu kwa lengo la kuua labda iwe kujilinda, unajilinda vipi kwa mlevi asie na siraha..
Katoriki njooni na story iliyonyooka, ni kipi kimefanya mumdunde msanii wetu, kwamba alitaka kuiba mbwa??
Hapana kwahiyo mtu akiwa na matatizo ndio auliwe? Embu tuambie alifanya jambo gani la kustahili kuuliwa kinyama namna ileMnakwepa sana kusema matatizo aliyokuwa nayo msanii wenu.