Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,174
Reaction score
16,794
Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi.

asimwe.jpg

Which is which??

Pia soma Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
 
Anaweza kuwa sio padre kwa asilimia mia ila haimaanishi kuwa mapadre ni wasafi sana, wao pia ni wadhambi na wanaweza fanya dhambi yoyote shetani hachagui wewe ni nani au una cheo kipi kama Imani yako ni nyembamba atapita tu na wewe
 
kwani ni mara ngapi mapadri wanaonekana kwa waganga wa kienyeji? mapadri wangapi hawana hirizi? okokeni ninyi wakatoliki.
Kwanini unafurahia sana ukisika habari hadi kuhusu wakatoliki?
Mbona ukristu hautufundishi hivyo?
Apollo, Petro na Paulo walikuwa na njia tofauti za kuhubiri injili ila waliheshimiana, kwanini nyie walokole hamuheshimu huu utofauti ikiwa Kristu anayehubiriw ni yule yule? Je huo ulokole una usafi sana kiasi hicho?

Nazidi kusisitiza aheri ya waislamu kuliko walokole
 
Back
Top Bottom