Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Hapo sawa, nilishtuka sana kusikia padreMsemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi.
Which is which??
Huoni ni forwarded???Paroko wa babati anasema huyo Polisi Hatasamehewa? Mbona nyie mnatufundisha tuwasamehe wanaotukosea?
kwani ni mara ngapi mapadri wanaonekana kwa waganga wa kienyeji? mapadri wangapi hawana hirizi? okokeni ninyi wakatoliki.Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi.
Which is which??
Kwanini unafurahia sana ukisika habari hadi kuhusu wakatoliki?kwani ni mara ngapi mapadri wanaonekana kwa waganga wa kienyeji? mapadri wangapi hawana hirizi? okokeni ninyi wakatoliki.
Ame forward, manake anainga mkono kutokusameheHuoni ni forwarded???
Umeisoma vizuri hiyo sms ya pili na kuielewa au nawe unakurupuka tu?Msaidizi wa paroko ni paroko
Hata wale waalimu wa madrasa waliolawiti wanafunzi wao sio kuwa ni wasafi sanaAnaweza kuwa sio padre kwa asilimia mia ila haimaanishi kuwa mapadre ni wasafi sana, wao pia ni wadhambi na wanaweza fanya dhambi yoyote shetani hachagui wewe ni nani au una cheo kipi kama Imani yako ni nyembamba atapita tu na wewe
Kwani nyie mnaojiita walokole hakuna wanaokengeuka huko kwenu? Au wewe ndie unaejua tabia na mienendo ya wote mnaojiita walokole?!kwani ni mara ngapi mapadri wanaonekana kwa waganga wa kienyeji? mapadri wangapi hawana hirizi? okokeni ninyi wakatoliki.
Uhakika badoHapo sawa, nilishtuka sana kusikia padre