Soma vzr acheni kukurupuka bana...soma tenaUlichoandika ni kana kwamba yuda alikua Kama yesu
Pika chai bana!!Soma vzr acheni kukurupuka bana...soma tena
Maana yangu Yuda alipaswa awe muadilifu sana kwa sbb alikua karibu na Kristo..lakini still alikua msaliti..ndo ije kuwa kwa huyo ambae Yesu anamsikia au anamsoma kwny vitabu..
Hivi akiwa au asipokuwa Padri, uzito wa tuhuma unabadilika?Wanaweza wakamkana wakasema si padri au alishaachana na upadri
Hivi unadhani Padri kuwa na watoto ni ishu nzito sana? Si ni uzinzi tu kama ambao hata wewe unaufanya licha ya kuwa na mke au wake? Kwa imani ya RC, ishu kubwa sio uzinzi wala mauaji. Kama kuna ukweli, ishu kubwa ni kushirikiana na mganga katika kazi zakeDini isitutoe utu, ma padre tunajua pia kama wana watoto huku mitaani kinyume na maadili yao
Sema nafsi zetu ziponeKwa mimi ninayemjua vyema mtuhumiwa ('Fr' Elpidius Rwegoshora) niseme haya na mengine au nisubiri mraruane zaid!
Papa Fransis miaka 30 iliyopita alikuwa papa ?Miaka 30 ilopita mwanamuziki mzaliwa wa Dublin Ireland aliichana picha ya PAPA FRANCIS hadharani ukumbini na akawaambia "Fight the real energy" shida kubwa ilikuwa analalamikia vijana wengi wa kiume huko nchini kwake Ireland walikuwa mashoga na uongezaji wao ulikuwa wa kutisha na ilibainika Kuwa wote wamesoma seminary hivyo walikuwa wanatatuliwa marinda na maparoko, na blooder n.k angali wakiwa umri wa kindergarten na hii ni kutokana na mahojiano ya wachunguzi na mashoga husika wengine waliambiwa na maparoko wabokoaji kwamba kubokolewa is the best way of life (imagine mtoto ana 6 yrs anabokolewa na lijitu lina 50yrs halafu linamwambia huo ushenzi).
Ikumbukwe kwa nchi za ulaya jamuhuri ya Ireland ndiko ROMA CATHOLIC imetamalaki kuliko Italy, pamoja na malalamiko hayo na taarifa za uchunguzi BABA MTAKATI WA WAKATI HUO PAPA FRANCIS hakuchukua hatua zozote ndipo huyu mwanamuziki alipoonesha hisia zake miezi kadhaa baadae ndipo Vatican ikachukua hatua ya kuanza kulipa fidia kwa waathiriwa waliojitokeza.
Hivi ni taarifa kwa wafia dini mnaoamini maparoko wenu ni watakatifu na kwamba wakiguswa na kashfa mnadhani wanadhalilishwa badala ya kuangalia ukweli wa mambo na ninakutakia ubishi mwema lakini nakutahadharisha kupeleka watoto wa wadogo wa kiume seminary maana utashangaa mwanao kasoma vizuri yupo Bank fulani anatafuta mume wa kumuoa.
Unapozungumzia Katoliki unamaanisha universal. So, unadhani jina la Katoliki (ulimwenguni) litachafuliwa au kusafishwa na mtu mmoja?Hizi naziona ni kama jitihada tu za kujaribu kusafisha jina la Katoliki
Following the resignation of Pope Benedict XVI on 28 February 2013, a papal conclave elected Bergoglio as his successor on 13 March. He chose Francis as his papal name in honour of Saint Francis of Assisi.Miaka 30 ilopita mwanamuziki mzaliwa wa Dublin Ireland aliichana picha ya PAPA FRANCIS hadharani ukumbini
HakikaWapo sna tu washenzi Sana
Umenena vemaUsisahau nao ni binadamu kama tulivyo sisi maana wao siyo malaika.
Kama unavyojiona wewe smart na utashi mwema wewe huyo huyo kesho unaweza ukafanya kitu cha kustaajabisha kama hicho so kuwa padre hakumuondolei sifa hii ya ubinadamu,mimi bado nitasimama na report ya polisi mpaka itakaposemwa vingine.
Jina kuchafuka sio kwamba ni mpaka lichafuke ulimwenguni pote, hata likichafuka wilaya moja bado tu litakua 'limechafuka' kwa watu wa eneo hilo. Hili na Asimwe litaichafua Katoliki ya TanzaniaUnapozungumzia Katoliki unamaanisha universal. So, unadhani jina la Katoliki (ulimwenguni) litachafuliwa au kusafishwa na mtu mmoja?
Hata walokole wanaonekana kwa waganga, uzinzi na pombe.kwani ni mara ngapi mapadri wanaonekana kwa waganga wa kienyeji? mapadri wangapi hawana hirizi? okokeni ninyi wakatoliki.
Kwahyo?Jina kuchafuka sio kwamba ni mpaka lichafuke ulimwenguni pote, hata likichafuka wilaya moja bado tu litakua 'limechafuka' kwa watu wa eneo hilo. Hili na Asimwe litaichafua Katoliki ya Tanzania
Uko sasa hata malaika mbinguni walikuwa karibu na Mungu wakiishi naye wakaasi sembuse paroko aliye karibu na Askofu binadamu mtandika konyagi au K VantSoma vzr acheni kukurupuka bana...soma tena
Maana yangu Yuda alipaswa awe muadilifu sana kwa sbb alikua karibu na Kristo..lakini still alikua msaliti..ndo ije kuwa kwa huyo ambae Yesu anamsikia au anamsoma kwny vitabu..
Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi.
Which is which??
Pia soma Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Mimi wala sijasema kwamba kwenye miongoni mwa wakatoliki hakuna dhambi wala sijaibiahia taarifa yako uliyosema japo miaka 30 nyuma papa hakuwa fransisi ila Yohane Paulo IlMiaka 30 ilopita mwanamuziki mzaliwa wa Dublin Ireland aliichana picha ya PAPA FRANCIS hadharani ukumbini na akawaambia "Fight the real energy" shida kubwa ilikuwa analalamikia vijana wengi wa kiume huko nchini kwake Ireland walikuwa mashoga na uongezaji wao ulikuwa wa kutisha na ilibainika Kuwa wote wamesoma seminary hivyo walikuwa wanatatuliwa marinda na maparoko, na blooder n.k angali wakiwa umri wa kindergarten na hii ni kutokana na mahojiano ya wachunguzi na mashoga husika wengine waliambiwa na maparoko wabokoaji kwamba kubokolewa is the best way of life (imagine mtoto ana 6 yrs anabokolewa na lijitu lina 50yrs halafu linamwambia huo ushenzi).
Ikumbukwe kwa nchi za ulaya jamuhuri ya Ireland ndiko ROMA CATHOLIC imetamalaki kuliko Italy, pamoja na malalamiko hayo na taarifa za uchunguzi BABA MTAKATI WA WAKATI HUO PAPA FRANCIS hakuchukua hatua zozote ndipo huyu mwanamuziki alipoonesha hisia zake miezi kadhaa baadae ndipo Vatican ikachukua hatua ya kuanza kulipa fidia kwa waathiriwa waliojitokeza.
Hivi ni taarifa kwa wafia dini mnaoamini maparoko wenu ni watakatifu na kwamba wakiguswa na kashfa mnadhani wanadhalilishwa badala ya kuangalia ukweli wa mambo na ninakutakia ubishi mwema lakini nakutahadharisha kupeleka watoto wa wadogo wa kiume seminary maana utashangaa mwanao kasoma vizuri yupo Bank fulani anatafuta mume wa kumuoa.
Wanaosema kuna ubaya katoliki wengi humu sio madhehebu mengine ni wakatoliki wenyewe wakilalamika kuanzia michango kuwa mingine kuanzia ya jumuiya,tegemeza Jimbo NK na kugomewa kupewa huduma za kanisa ukiwa hutoi nkMimi wala sijasema kwamba kwenye miongoni mwa wakatoliki hakuna dhambi wala sijaibiahia taarifa yako uliyosema japo miaka 30 nyuma papa hakuwa fransisi ila Yohane Paulo Il
Ninachokisema Mimi huyu mtu anayependa kusikia mabaya ndani ya ukatoliki anatuaminiaha kwake ni kusafi sana yaani walokole, je wewe unaamini hilo?
Hakuna taasisi yoyote ya kidini iliyo safi kwa angalau 80% hakuna.
Hivyo kukemea makosa kunaruhusiwa ila hupaswi kuobesha ushabiki, hakuna mafundisho ya kikatoliki yanayofundisha ulawiti au aina yoyote ya dhambi