Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Mijitu iko sensitive kweli. lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala Kanisa Katoliki wasisubutu kufanya kitu kama hicho hapa kwetu TZ. Waliyofanya Phillipines au Ireland, ni huko huko, kwanza huko Katoliki ni wengi kuliko madhehebu mengine.Hakuna Kanisa Katoliki Tanzania, Philipines, Italy au Germany.
Kanisa Katoliki ni Kanisa Katoliki tu.
Katekism ya kanisa Catholic inasema hivi:
The Church is One, Holy, Catholic, and Apostolic
ambayo kwa kiswahili inatafsiriwa hivi:
Kanisa ni moja takatifu, Katoliki la kitumeeee.
Vilevile lengo ni kuwakumbusha wale wapiga debe waliodhani nyaraka hizi ni jambo geni kwamba linafanyika nchi zote liliko kanisa Katoliki na huko hutawasikia wanapiga kelele zozote kwani hawana ugeni na nyaraka hizo.
Wala Kanisa Katoliki wasisubutu kufanya kitu kama hicho hapa kwetu TZ. Waliyofanya Phillipines au Ireland, ni huko huko, kwanza huko Katoliki ni wengi kuliko madhehebu mengine.
maana kuna thread zinaanzishwaga humu na heading kama KWA WANAWAKE TU, KWA WANAUME TU, KWA WANYAKYUSA TU NK,
NADHANI KWA MAELEZO YAKO HAPO KWENYE NYEKUNDU NI BORA MNGETUANDIKIA KWA WAKATOLIKI TU, WALA KUSINGEKUWA NA HAYA MANENO