Kanisa Katoriki haliongeki , tuliosoma seminary tunajua, Mwishoni wanakugeuka kanisa

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
I will be short

Roman Catholic sio kabisa . Hili kanisa ukilisupport na kulitumia Kama daraja utashangazwa .

Dakika za jioni kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hata ujitoe vipi kwao wataludi Kwenye utaratibu wao . πŸ˜‚πŸ˜‚. Hata sadaka ziwe trillion . Siku ya Mwisho vipi ulifata utaratibu na je ni Mfano kwa Jamii

Ukitumia rushwa utoboi , Mwishoni Dakika za jioni kabisa . Wanafata utaratibu wao . Mara upo nje ya box .

That’s why bora ufate utaratibu kuliko ku tumia pesa .

Watu wa seminary tunajua .
 
Mkuu unataka majibu ya kweli au hapana?

Kama liliweza kufumbia macho mambo mengi vile….. nashauri tumwachie Mungu
 
Kanisa ''katoriki haliongeki''

Mmesoma seminary gani hamjui hata kuandika?

Hii inasikitisha sana.
 
Hadithi yako inatufundisha niniiiiii???????
 
Naunga mkono hoja.Nilishangaa Mama alienda hadi kwa Papa kujipendekeza.Pale alikuwa ameshauriwa vibaya.
 
Ccm hipo madarakani kwa sababu imewaweka viongozi wengi wa dini mfukoni.
 
Jifunze kuandika. Katoriki ndio nini?
 

Wanahongeka kwa ile kitu inayomaliza hela za wanaume
 
Miaka ya 80, waliofeli darasa la saba wanajiunga seminari, mda mfupi anaongea kiingereza baada ya kupikwa tena kwa nguvu. Mwisho unamkuta ni padri na falsafa yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…