Kanisa Katoriki haliongeki , tuliosoma seminary tunajua, Mwishoni wanakugeuka kanisa

Kanisa Katoriki haliongeki , tuliosoma seminary tunajua, Mwishoni wanakugeuka kanisa

I will be short

Roman Catholic sio kabisa . Hili kanisa ukilisupport na kulitumia Kama daraja utashangazwa .

Dakika za jioni kabisa 😂😂😂

Hata ujitoe vipi kwao wataludi Kwenye utaratibu wao . 😂😂. Hata sadaka ziwe trillion . Siku ya Mwisho vipi ulifata utaratibu na je ni Mfano kwa Jamii


ukitumia rushwa utoboi , Mwishoni Dakika za jioni kabisa . Wanafata utaratibu wao . Mara upo nje ya box .

That’s why bora ufate utaratibu kuliko ku tumia pesa .

Watu wa seminary tunajua .
Kwani nani anataka kuwahonga mapadre wetu jamani 🤣🤣🤣😆😆
 
Back
Top Bottom