I will be short
Roman Catholic sio kabisa . Hili kanisa ukilisupport na kulitumia Kama daraja utashangazwa .
Dakika za jioni kabisa πππ
Hata ujitoe vipi kwao wataludi Kwenye utaratibu wao . ππ. Hata sadaka ziwe trillion . Siku ya Mwisho vipi ulifata utaratibu na je ni Mfano kwa Jamii
ukitumia rushwa utoboi , Mwishoni Dakika za jioni kabisa . Wanafata utaratibu wao . Mara upo nje ya box .
Thatβs why bora ufate utaratibu kuliko ku tumia pesa .
Watu wa seminary tunajua .