Kanisa kujenga vyuo vikuu vitatu vipya

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,518
Reaction score
378
Na Daniel Mjema : moshi:

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lina mpango wa kuanzisha vyuo vikuu vitatu vitakavyokuwa vyuo vikuu vishiriki vya chuo kikuu cha Makumira kilichopo nje kidogo ya jiji la Arusha.
Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Makumira Prof. Joseph Parsalaw alisema mwishoni mwa wiki kuwa lengo ni kuboresha utoaji wa elimu nchini.
Kwa mujibu wa Makamu mkuu wa Tumaini vyuo hivyo vitajengwa mkoani Singida, Monduli, na Karagwe mkoani kagera
Source.mwananchi .Nov.13 uk.5

 

utasikia changia redio Na tv Imani.
Then baada ya muda ama miaka kadhaa utasikia
Oooo wanapendelewa...... Ooooo .. Haki sawa kwa wote ..
Oooo wamejazana kwenye vitengo vyote.
 
utasikia changia redio Na tv Imani.
Then baada ya muda ama miaka kadhaa utasikia
Oooo wanapendelewa...... Ooooo .. Haki sawa kwa wote ..
Oooo wamejazana kwenye vitengo vyote.

Msubiri mtetezi wao Ritz akushukie
 
hivi wameambiwa watanzania wote lazima wawe na degree? kwani vyuo vya veta sio vyuo jamani form four wetu kutoka shule za kata wanaopata divisioni four za 29 na kuendelea nani atawasaidia ili nao wapate stadi za kazi?
 
Kanisa lipo mbele kuhakikisha tunakuwa vochwa na si mkia.YESU JUUUUUUUUUUUUU.
JU JU JUZAIDIIIIIIIIIIIIIIIIII.
 
Reactions: awp
Mie navipokea kwa furaha kwani watasoma watu wote wenye kutaka bila ubaguzi hasa wa dini
 
Wale wenzetu wa uamsho watasema hizo ni pesa za MOU ndizo zinazofanya maendeleo
 
Reactions: awp
K.k.k.t; wakumbuke Dodoma nako kujenga chuo kikuu maalum kwani kuna maeneo ya ardhi makubwa yanapatikana kwa gharama nafuu hasa wilaya mpwapwa,chamwino na hata Kongwa.
 
Haleluiya, Amina Amina!!! Acha tujenge shule na mahospitali!!! Halafu wakimaliza kuuandamana watakuja kuomba kazi za ufagizi na hawatapata!!! Watoto wasome wawatawale milele!!
 
Sisi maislamu ni Lazima tuandamane IJUMAA hii.....Haiwezekani serikali inawapa wakristo mijihela ya kujengea VYUO VIKUU

Na zile sadaka zenu na vile vibakuli mnaweka stand na vitambaa vya kuomba sadaka eti mnajenga msikiti na madrasa!!! Mnapeleka wapi? Ha ha ha ha!!! To hell!!!
 
Mkuu BAOBAO dom iachwe iishe kwa kujengwa HQ za magamba,vyuo vya nn huku tena?
 
Na zile sadaka zenu na vile vibakuli mnaweka stand na vitambaa vya kuomba sadaka eti mnajenga msikiti na madrasa!!! Mnapeleka wapi? Ha ha ha ha!!! To hell!!!

Usituingilie.............Mmezoea kubebwa na serikali ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…