Nyie ndio mnatafuta mabwana kila siku kulia lia mnataka haki sawa , kimekuuma umeleta Ta.ko lako hapa unajiuma uma hapa. Nenda kaandamane kikwete na alhaji kova wawapige mabumu na kuwanyoa ndevu zenu hizo.
Kwanza mahakama ya kadhi mmeshapewa?
Na Daniel Mjema : moshi:
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lina mpango wa kuanzisha vyuo vikuu vitatu vitakavyokuwa vyuo vikuu vishiriki vya chuo kikuu cha Makumira kilichopo nje kidogo ya jiji la Arusha.
Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Makumira Prof. Joseph Parsalaw alisema mwishoni mwa wiki kuwa lengo ni kuboresha utoaji wa elimu nchini.
Kwa mujibu wa Makamu mkuu wa Tumaini vyuo hivyo vitajengwa mkoani Singida, Monduli, na Karagwe mkoani kagera
Source.mwananchi .Nov.13 uk.5
Wangefikiria zaidi kujenga vyuo vya kati(Certificate na Diploma),tena vya stadi za kazi hivyo vingesaidia vijana wengi wasiofikia viwango vya kuwawezesha kujiunga na chuo kikuu,hawa wa form IV na VI,(failed)Binafsi siafiki mipango hiyo kwani tunatengeneza tabaka la wasomi tu huku vijana wengi tena wakristo wazuri wanaolipa hadhi kanisa letu wakiwa mitaani bila ujuzi wowote wala kazi na hiyo siyo maono wala nia ya kimungu ni ya kibiashara zaidi,kanisa letu linafanya biashara badala ya kuhubiri injili ili iwafikie watu wote na siyo tabaka fulani la watu.Tafadhali sana Mr Mjema peleka ujumbe huu kwa wahusika sawia bila kumung'unya maneno kwani iko siku vurugu kubwa itatokea ndani ya kanisa kutokana na ubaguzi huu mkubwa usio na upako wa mwenyezi mungu,tena kulichanachana kabisa.
I dont agree with you. Wewe hujasikia kuwa vyuo vyeti vina wahadhiri wachache....... Bado tu hutaki watu wamalize elim ya juu .. Certificate itamsaidia nini?
Unatapa tapa, hoja huna
ngoja waje wenye dini zao za kuletwa na meli wagongane mapovu hapa
wenyewe wanatushangaa sana si unaona uingereza /anglican wanavyowachezea ubongo africa/ anglican ila hawashtuki kabisa lol jiulize sababu kuu yakuenea kwa hizi dini ndio utajua ni za ukweli au uongo.wenyewe waliotuletea wanastarehe huko!!dini zenyewe tunapapasa tu!ujinga ujinga tu hapa
Kama hana huo uwezo wa kusoma hiyo degree hivyo ndiyo maisha yako yameishia hapo? na hivi wote tukiwa na degree hizi kazi nyigine za chini nani azifanye au wote tukiwa maprofesa ina tija gani kwa kanisa na nchi hii.
wenyewe wanatushangaa sana si unaona uingereza /anglican wanavyowachezea ubongo africa/ anglican ila hawashtuki kabisa lol jiulize sababu kuu yakuenea kwa hizi dini ndio utajua ni za ukweli au uongo.
Don't be so silly, kuna hoja gani ya kujenga! hapo au wataka mabishano tu yasio na msingi umeanza na thread vizuri kuhabarisha uma kuhusu vyuo vikuu! vya KKT ... mikono ikakuwasha post number mbili ukaanza personal attacks as usual hate towards Muslims community! ....
get a job or something your hatred and jealousy towards Muslims community haitokufikisha popote .. rather you will be trolling behind keyboard kuongeza idadi ya post zako tu humu JF ..
pathetic
Mtabaki hivyohivyo mkuu wangu. Wakati wenzenu wanafikiria maendeleo ninyi mnapanga maandamano yasiyo na msingi. Jifunzen kwa wenzenu lasivyo mtaishia kulaumu kila siku.Sisi maislamu ni Lazima tuandamane IJUMAA hii.....Haiwezekani serikali inawapa wakristo mijihela ya kujengea VYUO VIKUU