Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

Kuna sehemu mimi nimesema Ukristo ni dini ?
Dini yangu hata huijui
Kwani kuna sehemu mimi nilikuambia umesema ukristo ni dini ??

Mbona ulisema kila mtu abaki na dini yake , wewe leo huna dini ??
 
Ni rahisi sana mtu akisolve swali fulani la hesabu gumuu, likamshinda kupata jibu

Ni rahisi kusema swali limekosewa.
naona unayayatika tu bila kuleta aya yesu kasulubiwa , inaonyesha huna na ukweli wa kuwa hakusulubiwa hutaki kuukubali kwa kiburi cha shetani
 
Nilitaka kushangaa bila kutaja kanisa KATOLIKI🤣🤣
 
Kwani kuna sehemu mimi nilikuambia umesema ukristo ni dini ??

Mbona ulisema kila mtu abaki na dini yake , wewe leo huna dini ??
ninayo dini na mimi
 
Maana yake Jenga Kanisa lako.

Misingi ya kumjua Mungu unafikiri ni hadi uende kanisani ?

Ukisali wewe mke wako na watoto kama Ibrahimu na Yakobo unafikiri ni makosa ???
Tusifike mbali Bro, maisha yako yapo mikononi mwako, amua unavyotaka, But huwez kuishi bila watu(system)
 
Tusifike mbali Bro, maisha yako yapo mikononi mwako, amua unavyotaka, But huwez kuishi bila watu(system)
Yah, ndio maana nikasema nuru inakuja.
 
Kuhusu Mada ya huu uzi ni.... kwa kifupi inahusu.

Ushindani wa Shetani na Waumini au kanisa la Kristo ukoje kwa sasa. na nini kinafata.
(Hali ni mbaya ndio maana nikasema Kanisa kuzidiwa na uchawi..)

Ndio ujumbe wa huu uzi 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…