DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Ikiwa leo ni Juni 6, 2025 ni siku ya nne mfululizo tokea ilipotolewa taarifa ya kufungiwa, askari wameendelea kuzunguka Kanisa hilo lililopo Ubungo, Dar es Salaam.
Hata hivyo bado njia zinazoelekea kwenye Kanisa hilo zimezungushiwa uzio unazuia watu kukatiza njia za karibu na Kanisa hilo.
Pia soma
~ Askofu Gwajima asema Kanisa la Mungu halijafungwa, tupuuze uzushi wa mitandaoni!
~ Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi