habari wadau.
Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake.
Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na Kuvunjwa kanisani baada ya ushahidi kuonesha tendo la ndoa haliwezi kufanyika sababu Bibi harusi hana Uke wake.
tazama video mwenyewe ujionee balaa la ndoa za No sex before marriage
View attachment 2967471
WhyMchungaji hana akili kabisa!!! π€π€π€,
Ni mpumbavu kuliko. Huyu siyo mchungaji bali ni mhuni. Kna umuhimu gani wa kuelezea haya yote? Huyo msichana ni wa kusaidiwa na siyo kukebehiwa. Au pengine huu unaweza kuwa utapeli, yaani ushuhuda wa uongo!Mchungaji hana akili kabisa!!! π€π€π€,
Kivipi?Mchungaji hana akili kabisa!!! π€π€π€,
Tukiachana na hiyo WHY, huo ni udhalilishaji... Mambo kama hayo yatakiwa kumalizwa private, labda kama target yake ni kupata waumini wengi kwenye banda lake.....
Yani Huo ni ujinga sana, kijana anasema huyo mwanamke mpaka sasa, amekuwa kipofu, hapo inaonyesha ni namna gani huyo mwanamke anapitia shida,,( lakini wanaojiita viongozi wa dini wapo kukenua meno tu mbele ya waumini huku wakisubilia sadaka)Ni mpumbavu kuliko. Huyu siyo mchungaji bali ni mhuni. Kna umuhimu gani wa kuelezea haya yote? Huyo msichana ni wa kusaidiwa na siyo kukebehiwa. Au pengine huu unaweza kuwa utapeli, yaani ushuhuda wa uongo!
mjomba wapo watoto wanaofungwa kichawi pia swala la ndoa nio baina ya watu wawili.Yani Huo ni ujinga sana, kijana anasema huyo mwanamke mpaka sasa, amekuwa kipofu, hapo inaonyesha ni namna gani huyo mwanamke anapitia shida,,( lakini wanaojiita viongozi wa dini wapo kukenua meno tu mbele ya waumini huku wakisubilia sadaka)
Kijana amesema, mke wake inaonekana wazazi wake walifanya maagano ya kichawi, inawezekana vipi wazazi hao hao waruhusu mtoto wao aolewe wakati wanajua kabisa wanamtumia kwenye mambo yao ya kibiashara ??... Hizi ni propaganda za wachungaji ππ