Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Hapo ni mwenye gari ndo anapambanaKwani gari halikuwa na bima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni mwenye gari ndo anapambanaKwani gari halikuwa na bima?
Tatizo sio fidia jēe sheria imefuata mkondo wake??Unashangaa nini? Fidia ni ndogo au kubwa? Thamani ya uhai wa mtu ni sawa na hiyo fidia?
Jēe Kanisa ndilo limeendesha gari na kusababisha Ajali??BIMA sio ilokuwa yaendesha gari.
Kafatilie kesi ya Kilimanjaro Express na Familia moja hivi
Wao walienda mshtaki mwenye gari, wakashinda kesi walipwe zaidi ya 100mil
SadakaMahakama ya hakimu Mkazi Njombe imelihukumu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya kusini kulipa fidia ya shilingi Milioni 70 baada ya gari mali ya kanisa hilo kugonga na kusababisha kifo cha marehemu Kaselida Mlowe wa mjini Njombe...
Awashtaki bima kwa kosa gani? , yaani bima wamefanya kosa gani hadi washtakiwe?Kwani kashitakiwa BIMA?
Unamshtaki aliyesababisha ajali au chombo husika na si kampuni ya BIMA.
Mwenye mali ndiye akawashtaki BIMA wamsaidie lipa
Sasa unachosema kuwa haikuwa na bima ulitaka nani akaishtaki bima?Awashtaki bima kwa kosa gani? , yaani bima wamefanya kosa gani hadi washtakiwe?
Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?
Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...www.jamiiforums.com
Mimi nimeuliza tu sijui chochote. Kwamba wakashtaki kampuni ya Bima, kampuni ya Bima imefanya kosa gani hadi ishtakiwe?Sasa unachosema kuwa haikuwa na bima ulitaka nani akaishtaki bima?
Au ndo kukurupuka kama waoga nje?
Unashangaa nini?Dereva Rajabu?!!
Bima haishtakiwi. Inakuwa ni wajibu wake kumlipa mhanga. Ndiyo maana inaitwa third party liabilityKwani kashitakiwa BIMA?
Unamshtaki aliyesababisha ajali au chombo husika na si kampuni ya BIMA.
Mwenye mali ndiye akawashtaki BIMA wamsaidie lipa
Hebu tupeane maarifa kidogoBIMA sio ilokuwa yaendesha gari.
Kafatilie kesi ya Kilimanjaro Express na Familia moja hivi
Wao walienda mshtaki mwenye gari, wakashinda kesi walipwe zaidi ya 100mil
Hujajibu swali. Soma nilichoandika.kwahiyo thamani ya uhai wa mtu ni sawa na milion 70?
Na minimum bima huwa ni 3rd partyKwani gari halikuwa na bima?