Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
mkichanjwa halafu mkaendelea kuwa watumwa wa ccm ni kazi bureKikolo huna kazi ya kufanya?kila siku wewe na Mbowe tu, tunataka na habari nyingine hayo ya Mbowe ni yake mwenyewe wacha tupambane na suala la kuchwanjwa au kutochanjwa, unakuwa kama wewe ndie Mnyika!
Mungu wa Eliya aliyemeokoa Eliya dhidi ya Ahabu atamwokoa na Freeman Mbowe.Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1876505View attachment 1876504
View attachment 1876503
Wewe ni pimbiBadala ya kwenda kumsalimia huyo Gaidi huko Segerea unatoa utopolo wako hapa JF.
Niko huku mbinguni nawachora tu mkuu!Hivi wewe si umekufa na umezikwa huko chato ushaoza sasahivi, unapata wap nguvu ya kukomenti
Eti verified member anakuwa na majibu ya kiutopolo hivi!!Wewe ni pimbi
Nakumbuka kiapo kuwa mara hii hamtafanya kituLeo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1876505View attachment 1876504
View attachment 1876503
Askofu au Mchungaji ni kabila gani?Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1876505View attachment 1876504
View attachment 1876503
Huyo yuko kundi la kuishi kwa hisani ya Mbowe. Anapokuwa mahabusu familia inaleta taabu!Kikolo huna kazi ya kufanya?kila siku wewe na Mbowe tu, tunataka na habari nyingine hayo ya Mbowe ni yake mwenyewe wacha tupambane na suala la kuchwanjwa au kutochanjwa, unakuwa kama wewe ndie Mnyika!
Safi sana.Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1876505View attachment 1876504
View attachment 1876503
Mungu IBARIKI CHADEMA
Mungu mpiganie Mwenyekiti kisha mtie nguvu
Mungu wasamehe watesi wake kwakuwa hawajui walitendalo
Duh, naona wanaimba Tenzi za Rohoni kwa twitter. Peoplezzzzzz? Mafi!!Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1876505View attachment 1876504
View attachment 1876503
Kabisa. Injustice haiangalii diniUsitubague kwenye dini kipindi hiki kigumu cha kupigania demokrasia ya nchi hii bila kubagua dini wala kabila.
[emoji23][emoji2][emoji28][emoji1241]Kwani Maaskofu Bagonza na Mwamakula sala zao hazikupokelewa? Afu kama vipi si mkinukishe tu makamanda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji23][emoji2][emoji1241]Niko huku mbinguni nawachora tu mkuu!
Sukuma gang Wana hasiraLeo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1876505View attachment 1876504
View attachment 1876503
Wewe tafuta mwingine wa kubambikia ugaidi,mengine waachie wengine.Badala ya kwenda kumsalimia huyo Gaidi huko Segerea unatoa utopolo wako hapa JF.
Hata ya mbambikiaji atakaye jitambua na kujutia uovu wake tunahitaji.Mnahitaji maombi pia ya Sukuma gang kutoka Furahisha, Mwanza?
Hah hah ananitia aibu sana ni jamaa anatoka kijiji ambako ndio asili yetu.Huyo yuko kundi la kuishi kwa hisani ya Mbowe. Anapokuwa mahabusu familia inaleta taabu!