Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

Kikolo huna kazi ya kufanya?kila siku wewe na Mbowe tu, tunataka na habari nyingine hayo ya Mbowe ni yake mwenyewe wacha tupambane na suala la kuchwanjwa au kutochanjwa, unakuwa kama wewe ndie Mnyika!
mkichanjwa halafu mkaendelea kuwa watumwa wa ccm ni kazi bure
 
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.

Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1876505View attachment 1876504
View attachment 1876503
Mungu wa Eliya aliyemeokoa Eliya dhidi ya Ahabu atamwokoa na Freeman Mbowe.
 
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.

Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1876505View attachment 1876504
View attachment 1876503
Askofu au Mchungaji ni kabila gani?
Pale Mwanza aliwahi kataliwa Askofu kwa kuwa siyo Mchaga. Sasa leo maombi ya aina hiyo yanaelekea huko huko enzi za akina shoo na waraka wa Pasaka.
 
Kikolo huna kazi ya kufanya?kila siku wewe na Mbowe tu, tunataka na habari nyingine hayo ya Mbowe ni yake mwenyewe wacha tupambane na suala la kuchwanjwa au kutochanjwa, unakuwa kama wewe ndie Mnyika!
Huyo yuko kundi la kuishi kwa hisani ya Mbowe. Anapokuwa mahabusu familia inaleta taabu!
 
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.

Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1876505View attachment 1876504
View attachment 1876503
Duh, naona wanaimba Tenzi za Rohoni kwa twitter. Peoplezzzzzz? Mafi!!
 
Back
Top Bottom