robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Ukijaribu kuingia huko, utafurushwa. Kabila jingine lazima uwe king'ang'anizi kweli kweli! Muulize Malasusa.Kwa nini maaskofu wengi KKKT ni wazaliwa wa Kikimanjaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijaribu kuingia huko, utafurushwa. Kabila jingine lazima uwe king'ang'anizi kweli kweli! Muulize Malasusa.Kwa nini maaskofu wengi KKKT ni wazaliwa wa Kikimanjaro
Hivyo hivyo! Ndo tabia yao hiyo! kila sehemu wanajitakia wao tu! Siyo KKT tu, hata Katoliki. Uchagani hutakuta padri wa kabila jingine, hutakuta Askofu wa kabila jingine, lakini wao wako mikoa ya wengine wakiamini ni ujanja.Haha. Pala Kimara aliletwa Mchungaji siyo mchanga. Wachaga wote wakagoma kutoa sadaka.