Kanisa halikuwa na nguvu, kwa vile mtawala wa wakati huo aliichangamkia biahara. Sijui hizi hoja ni za kukebehi au kufich uzo wa viongoziwa utumwa ambao walikuwa Waarabu Waislamu. Nafikiri hapa hakuna cha utetezi wowote. Kanisa kwa namna moja au nyingine lilihusika na kukomesha utumwa. Nadhani hapa ni kuwa wakweli. Kumbuka kuwa siyo Waislamu tu walihusika na utuwa. Wakristu pia walikuwa mstari wa mbele kwenye hii biashara. Actually, kwa TZ/Zanzibar wakamataji watumwa walikuwa Waislamu na wanunuzi wakristu. Biashara ya utumwa kule Afrika magharibi iliongozwa na wakristu na machfu wa huko, pia waislamu walihusika lakini hili lilikuwa la viongozi. Kwa kifupi Waislamu na Wakristu waliuwa dugu mpja kwenye hili.