Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Mwanamapinduzi alitoa tangazo hilo jana Juni 13 jijini Ddoma katika mkutano wa waandishi wa habari uliohudhuriwa na mamia ya maaskofu wa kanisa hilo kutoka sehemu mbalimbali nchini ambao pia walikuwa wamehudhuria kesi ya waliyofungua kupinga kanisa hilo kufungwa.
Juni 2, 2025 Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifunga kanisa hilo kwa kosa la kuchanganya dini na siasa, kufuatia kauli za Askofu mkuu wa kanisa hilo, Josephat Gwajima kuwa kuna watu wanatekwa nchini.
Video iliyosambaa kwenye mitandao ya jamii leo Juni 14 imeonyesha askari waliovaa sare za polisi na wengine wakiwa kiraia wakiweka utepe kwenye kanisa hilo.
Video.