Tetesi: Kanisa la sabato Tanzania linakutaa hivi karibuni kujadili mwenendo wa nchi

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Nimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa

Kiongozi mmoja wa Kanisa amesikitishwa na watu kuwekwa ndani kwa kukosoa mkataba wa bandari

Kila la kheri sabato

Taarfa zaidi zitafuata
 
Hao wasabato a.k.a wapendwa walivyo na chuki dhidi ya RC (sijui iliwatendea nini!) si ajabu wakaja na tamko la kupinga tamko la TEC. Mambo ya kijamii na kiuchumi sijawahi kuwasikia kabisa, popote walipo wao adui yao mkuu ni RC na siku ya jumapili, huwa nashindwa kabisa kuwaelewa!
 
Sidhani kama sisi wasabato tunaingilia kwa vyovyote vile kwenye maamuzi ya serikali as long as hayajatugusa moja kwa moja kwenye Imani yetu.
 
Sisi wasabato hatuwezi ungana na Freemason hivo tutakua upande wa DP world...niwatakie sabato njema Wana na binti wa Mungu.🙏
Exodus 20:8
Six days you shall labor, and do all your work, but the seventh day is a Sabbath to the Lord you God
.
 
Nimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa

Kila la kheri sabato

Taarfa zaidi zitafuata
Mie nawatakia kila la kheri, wasisahau kuwaombea duah mbaya wanaouza nchi yetu ya Tanganyika na kupaacha kwao zanzibar huru.
Watualike sote kt hiyo duah
 
Sisi wasabato hatuwezi ungana na Freemason hivo tutakua upande wa DP world...niwatakie sabato njema Wana na binti wa Mungu.[emoji120]
Exodus 20:8
Six days you shall labor, and do all your work, but the seventh day is a Sabbath to the Lord you God
.
Ningeshangaa kama maoni yenu yangekuwa tofauti na haya!

Btw una uhakika gani DPW hawapo katika hiyo Freemasonry?
 
Mie nawatakia kila la kheri, wasisahau kuwaombea duah mbaya wanaouza nchi yetu ya Tanganyika na kupaacha kwao zanzibar huru.
Watualike sote kt hiyo duah
Mkuu unamaanisha hawa [emoji116]?
Sisi wasabato hatuwezi ungana na Freemason hivo tutakua upande wa DP world...niwatakie sabato njema Wana na binti wa Mungu.[emoji120]
Exodus 20:8
Six days you shall labor, and do all your work, but the seventh day is a Sabbath to the Lord you God
.
 
Hao wasabato a.k.a wapendwa walivyo na chuki dhidi ya RC (sijui iliwatendea nini!) si ajabu wakaja na tamko la kupinga tamko la TEC. Mambo ya kijamii na kiuchumi sijawahi kuwasikia kabisa, popote walipo wao adui yao mkuu ni RC na siku ya jumapili, huwa nashindwa kabisa kuwaelewa!
Ukiindoa RC.

Dhehebu la pili Duniani kwakua na Taasisi nyingi zitoazo huduma Jamii ni WASABATO.
 
Back
Top Bottom