Tetesi: Kanisa la sabato Tanzania linakutaa hivi karibuni kujadili mwenendo wa nchi

Nimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa

Kiongozi mmoja wa Kanisa amesikitishwa na watu kuwekwa ndani kwa kukosoa mkataba wa bandari

Kila la kheri sabato

Taarfa zaidi zitafuata
Na wale mitume na manabii wa upako je?
 
Nimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa

Kiongozi mmoja wa Kanisa amesikitishwa na watu kuwekwa ndani kwa kukosoa mkataba wa bandari

Kila la kheri sabato

Taarfa zaidi zitafuata
SDA kanisa la Mungu linalojielewa.
 
Kwa mkataba huu tutaungana na TEC.

Mungu hataki dhuluma uonevu na kunyanyasa watu.

Kuhoji tu bandari mnakamata watu!

Kama ni udini wakristo tuko pamoja.

Mmelikoroga linyweni wavaa kobazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahau kabisa Kanisa la Waadventista Wasabato kujihusisha na jambo LOLOTE la kisiasa na uchumi kwa jambo LOLOTE. Sahau. Mimi ni kiongozi ndani ya kanisa hilo. SAHAU!
Nimewaambia Hapo juu. As long as hawajagusa Imani ya kusali siku ya sabato (Jumamosi) hawawezi kujiingiza kwenye swala lolote la kisiasa.
 
Nimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa

Kiongozi mmoja wa Kanisa amesikitishwa na watu kuwekwa ndani kwa kukosoa mkataba wa bandari

Kila la kheri sabato

Taarfa zaidi zitafuata
habari njema
 
Sahau kabisa Kanisa la Waadventista Wasabato kujihusisha na jambo LOLOTE la kisiasa na uchumi kwa jambo LOLOTE. Sahau. Mimi ni kiongozi ndani ya kanisa hilo. SAHAU!
Umeusoma walaka wa Mwaka 2014 au umekurupuka?
 
Back
Top Bottom