uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Ni habari njema hiiNimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa
Kila la kheri sabato
Taarfa zaidi zitafuata
Hahaa hao kuna kitu,Nimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa
Kila la kheri sabato
Taarfa zaidi zitafuata
Miruzi ipo mingi mwishowe itapoteza SerikaliNimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa
Kila la kheri sabato
Taarfa zaidi zitafuata
Nimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa
Kila la kheri sabato
Taarfa zaidi zitafuata
Sabato MakinikiaSabato Masalia au ile Original?
Kuwa wasabato hakuwaondoleeni haki yenu ya kuwa raiaSidhani kama sisi wasabato tunaingilia kwa vyovyote vile kwenye maamuzi ya serikali as long as hayajatugusa moja kwa moja kwenye Imani yetu.
Mie nawatakia kila la kheri, wasisahau kuwaombea duah mbaya wanaouza nchi yetu ya Tanganyika na kupaacha kwao zanzibar huru.Nimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa
Kila la kheri sabato
Taarfa zaidi zitafuata
Ningeshangaa kama maoni yenu yangekuwa tofauti na haya!Sisi wasabato hatuwezi ungana na Freemason hivo tutakua upande wa DP world...niwatakie sabato njema Wana na binti wa Mungu.[emoji120]
Exodus 20:8
Six days you shall labor, and do all your work, but the seventh day is a Sabbath to the Lord you God.
Mkuu unamaanisha hawa [emoji116]?Mie nawatakia kila la kheri, wasisahau kuwaombea duah mbaya wanaouza nchi yetu ya Tanganyika na kupaacha kwao zanzibar huru.
Watualike sote kt hiyo duah
Sisi wasabato hatuwezi ungana na Freemason hivo tutakua upande wa DP world...niwatakie sabato njema Wana na binti wa Mungu.[emoji120]
Exodus 20:8
Six days you shall labor, and do all your work, but the seventh day is a Sabbath to the Lord you God.
Wangekua Freemason wala hata huo walaka usingeuonaNingeshangaa kama maoni yenu yangekuwa tofauti na haya!
Btw una uhakika gani DPW hawapo katika hiyo Freemasonry?
Ukiindoa RC.Hao wasabato a.k.a wapendwa walivyo na chuki dhidi ya RC (sijui iliwatendea nini!) si ajabu wakaja na tamko la kupinga tamko la TEC. Mambo ya kijamii na kiuchumi sijawahi kuwasikia kabisa, popote walipo wao adui yao mkuu ni RC na siku ya jumapili, huwa nashindwa kabisa kuwaelewa!