Tetesi: Kanisa la sabato Tanzania linakutaa hivi karibuni kujadili mwenendo wa nchi

Na wale mitume na manabii wa upako je?
 
SDA kanisa la Mungu linalojielewa.
 
Kwa mkataba huu tutaungana na TEC.

Mungu hataki dhuluma uonevu na kunyanyasa watu.

Kuhoji tu bandari mnakamata watu!

Kama ni udini wakristo tuko pamoja.

Mmelikoroga linyweni wavaa kobazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahau kabisa Kanisa la Waadventista Wasabato kujihusisha na jambo LOLOTE la kisiasa na uchumi kwa jambo LOLOTE. Sahau. Mimi ni kiongozi ndani ya kanisa hilo. SAHAU!
Nimewaambia Hapo juu. As long as hawajagusa Imani ya kusali siku ya sabato (Jumamosi) hawawezi kujiingiza kwenye swala lolote la kisiasa.
 
habari njema
 
Sahau kabisa Kanisa la Waadventista Wasabato kujihusisha na jambo LOLOTE la kisiasa na uchumi kwa jambo LOLOTE. Sahau. Mimi ni kiongozi ndani ya kanisa hilo. SAHAU!
Umeusoma walaka wa Mwaka 2014 au umekurupuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…