johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Askofu mkuu wa Kanisa la kilokole la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amempongeza Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kumteua muumini wa Kanisa hilo kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Dkt. Mtokambali alifika Ikulu ya Zanzibar kumfikishia Rais Mwinyi salamu hizo za Upendo.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Dkt. Mtokambali alifika Ikulu ya Zanzibar kumfikishia Rais Mwinyi salamu hizo za Upendo.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!