Hapana. Ni kaffir wa kwanza kuingia kwenye Baraza.Mgalatia wa kwanza nadhani kwenye baraza bila shaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Ni kaffir wa kwanza kuingia kwenye Baraza.Mgalatia wa kwanza nadhani kwenye baraza bila shaka
Adam Mwakanjuki alikuwa dini gani?Hapana. Ni kaffir wa kwanza kuingia kwenye Baraza.
Ooh! Asante kwa kututoa tongotongo.Adam Mwakanjuki alikuwa dini gani?
[emoji28][emoji28]Mteule
Hahah bwashee vipi.Wewe unawaza hela tu.
Ufipa chapeni kazi!
Hahahaaaa...... Kunenge akijichanganya tu Jokate tunamkaribisha Dar!Hahah bwashee vipi.
Jokate hapewi promotion ya ukuu wa mkoa au ubunge?
Ulitaka itangazwe na nani?Yaani hii ni habari ya kutangazwa na ITV kweli?
Hongera!Hapana. Ni kaffir wa kwanza kuingia kwenye Baraza.
Oh kweli Brigadia Mwakanjuki!Adam Mwakanjuki alikuwa dini gani?
Amina!
Kwa wenye akili, mstari mmoja ulioandika hapa umebeba ujumbe uzito sana!PK atakuja nae kumpongeza kwa kumteua Bigirimana.. Tuendelee kuiponya nchi
Huku ni kutokujua wajibu na kuendekeza njaa.Askofu mkuu wa Kanisa la kilokole la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amempongeza Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kumteua muumini wa Kanisa hilo kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Dr Mtokambali alifika Ikulu ya Zanzibar kumfikishia Rais Mwinyi salamu hizo za Upendo.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kivipi bwashee?!Huku ni kutokujua wajibu na kuendekeza njaa.
Amina bwashee!Ooh! Asante kwa kututoa tongotongo.