Kanisa la TAG lampongeza Rais Dkt. Hussein Mwinyi kwa kumteua muumini wao kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu mkuu wa Kanisa la kilokole la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amempongeza Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kumteua muumini wa Kanisa hilo kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Dkt. Mtokambali alifika Ikulu ya Zanzibar kumfikishia Rais Mwinyi salamu hizo za Upendo.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„
 
Shehe mkuu naye akapongeze uteuzi wa Mansour?
 
hizi doctorate znabidi kuchunguza jamani, hakika cdhani Kama Kuna kiongozi wa dini wa ss atauona ufalme wa mbingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…