Kanisa la TAG lampongeza Rais Dkt. Hussein Mwinyi kwa kumteua muumini wao kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi!

Kwa maono ya rais Mwinyi, naiona Zanzibar ikipaa kimaendeleo. Kuwaleta watu pamoja bila kujali dini, kabila, itikadi za vyama ni jambo la muhimu katika kuleta maendeleo.
 
Laanatulah raisi wa zanzibare[emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…