Kanisa la TAG Songea latishiwa kuchomwa moto

Status
Not open for further replies.

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
WANAWEZESHWA HAO!!!!! Ndo maana wanaujasiri wa kunena na kutishia kuchoma makanisa
 
........Kwa mujibu wa Radio one... Kanisa la Assembblies of God lililoko Songea mjini nalo limetishiwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana... Mchungaji Alimosa Mwasangapole amethibitisha.......
Lipi hilo mkuu lililopo konani kama unaenda Manzese ukitokea Mfaranyaki au?
 
Uoga tu huo. Nani ayachomemoto. Waislamu hawana mpango na makanisa yenu. Wasichokikubali waislamu ni mtindo wa selikali kujigeuza na dhehebu la dini ! Hao wanaoyachomamoto makanisa. Au yanaungua yenyewe maana nasikia a vatcan ilikigwa radi !!!!!
 
Kama hawana mpango nayo basi ni vizuri, maana mkuu siku hizi WATUKUFU waislamu wameanza kutuhumiwa kwa kuchoma makanisa, kitu ambacho sio kizuri.
 
........Kwa mujibu wa Radio one... Kanisa la Assembblies of God lililoko Songea mjini nalo limetishiwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana... Mchungaji Alimosa Mwasangapole amethibitisha.......
sasa kama hawajulikani wametishia je? umenikumbusha kitabu kimoja cha riwaya cha "Salam toka kuzimu" ambapo watu hudondoshewa vipeperushi vya kuwaelekeza kitu au kuwatisha wakiwa wanaoga bafuni.
 
dah eee mungu ibariki tanzania hv kwamtindo huu tutaiona pepo kweli au tutaenda mbinguni kweli?
 
du.sasa tunakoelekea ni shimoni,tena shimo la kitonga,sijui kama tutapona.ccm inatupeleka kubaya.kila kitu wanawatupia chadema.haya mambo nayo baadae watawasukumia chadema kuwa inausika.
 
........Kwa mujibu wa Radio one... Kanisa la Assembblies of God lililoko Songea mjini nalo limetishiwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana... Mchungaji Alimosa Mwasangapole amethibitisha.......
FBI ndio wametoa hizo taarifa kwa Askofu? au ni walewale wanaotembea na CD za watu wanaopanga mauaji mfukoni?
 
du.sasa tunakoelekea ni shimoni,tena shimo la kitonga,sijui kama tutapona.ccm inatupeleka kubaya.kila kitu wanawatupia chadema.haya mambo nayo baadae watawasukumia chadema kuwa inausika.
wanaowaambia kuna mpango wa kuchomwa kanisa,wanashindwaje kuwaeleza wanaopanga ni kina nani?
 
dah eee mungu ibariki tanzania hv kwamtindo huu tutaiona pepo kweli au tutaenda mbinguni kweli?
kwa nini msimwambie Mchemba aripoti polisi CD ya wanaopanga mauaji kiliko kusubiri mpaka mauaji yatokee?
 
Kama hawana mpango nayo basi ni vizuri, maana mkuu siku hizi WATUKUFU waislamu wameanza kutuhumiwa kwa kuchoma makanisa, kitu ambacho sio kizuri.
tabu tunayoipata ni pale mtu anakuwa na CD ya watu wanaopanga mauajilakini anashindwa kuipeleka polisi, sasa itakuwaje kwa hawa waislam wa kufikirika?
 
dah eee mungu ibariki tanzania hv kwamtindo huu tutaiona pepo kweli au tutaenda mbinguni kweli?
Mungu ataibariki vipi afrika,wakati CD za wanaopanga mauaji tunatembea nazo mifukoni hatuzipeleki Polisi?
 
wasilogwe wajaribu upuuzi wao Arusha au Kilimanjaro au Mbeya watanyongewa migombani maana kule mangi na Waarusha/Wameru na Wanyakyusa hawakopeshi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom