Kanisa la TAG Songea latishiwa kuchomwa moto

Status
Not open for further replies.
WANAWEZESHWA HAO!!!!! Ndo maana wanaujasiri wa kunena na kutishia kuchoma makanisa
wanawezeshwa na nani? Mbona hamtaki kumwambiaMchema atoe CD ya wanaopanga mauaji?au hilo nalo linatakiwa lifanywe na FBI?
 
Watukufu wai.sla.mu wamepatwa na nini?

Taarifa inasema ni waislam ... ????? Watu wanatafuta umaarufu tu, there's a big money in Christian god " its a businesses" , when they pack all those people in church na kukusanya sadaka zao baada ya kuimba na kucheza disko la Mungu ... Na smell something fishy hapa
 
tabu tunayoipata ni pale mtu anakuwa na CD ya watu wanaopanga mauajilakini anashindwa kuipeleka polisi, sasa itakuwaje kwa hawa waislam wa kufikirika?
Huyo mwenye CD halafu hapeleki polisi basi na yeye ni mmoja wao
 
Taarifa inasema ni waislam ... ????? Watu wanatafuta umaarufu tu, there's a big money in Christian god " its a businesses" , when they pack all those people in church na kukusanya sadaka zao baada ya kuimba na kucheza disko la Mungu ... Na smell something fishy hapa
Dah, sasa kama there is big money in christian god na kwamba it is a businesses, . . .Uchomaji hapa unaingiaje?, tudokeze basi hiyo something fishy.
 
Taarifa inasema ni waislam ... ????? Watu wanatafuta umaarufu tu, there's a big money in Christian god " its a businesses" , when they pack all those people in church na kukusanya sadaka zao baada ya kuimba na kucheza disko la Mungu ... Na smell something fishy hapa
Ya Allah nayo kali. Mtu huko tayari kufa eti
kwa sababu ameambiwa kwenye pepo kwa Allah kuna kambi ya fisi
 
nyie mnachoma makanisa wenyewe halafu mnaleta unafiki nageria wameshakamatwa wakristo wengi wanachoma makanisa janja yenu tumeijua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom