Lipi hilo mkuu lililopo konani kama unaenda Manzese ukitokea Mfaranyaki au?........Kwa mujibu wa Radio one... Kanisa la Assembblies of God lililoko Songea mjini nalo limetishiwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana... Mchungaji Alimosa Mwasangapole amethibitisha.......
Dah, huo msala tena, hivi inawezekana wakawa ni WATUKUFU waislamu ndio waliotishia eti?WANAWEZESHWA HAO!!!!! Ndo maana wanaujasiri wa kunena na kutishia kuchoma makanisa
Kama hawana mpango nayo basi ni vizuri, maana mkuu siku hizi WATUKUFU waislamu wameanza kutuhumiwa kwa kuchoma makanisa, kitu ambacho sio kizuri.Uoga tu huo. Nani ayachomemoto. Waislamu hawana mpango na makanisa yenu. Wasichokikubali waislamu ni mtindo wa selikali kujigeuza na dhehebu la dini ! Hao wanaoyachomamoto makanisa. Au yanaungua yenyewe maana nasikia a vatcan ilikigwa radi !!!!!
sasa kama hawajulikani wametishia je? umenikumbusha kitabu kimoja cha riwaya cha "Salam toka kuzimu" ambapo watu hudondoshewa vipeperushi vya kuwaelekeza kitu au kuwatisha wakiwa wanaoga bafuni.........Kwa mujibu wa Radio one... Kanisa la Assembblies of God lililoko Songea mjini nalo limetishiwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana... Mchungaji Alimosa Mwasangapole amethibitisha.......
Lipi hilo mkuu lililopo konani kama unaenda Manzese ukitokea Mfaranyaki au?
FBI ndio wametoa hizo taarifa kwa Askofu? au ni walewale wanaotembea na CD za watu wanaopanga mauaji mfukoni?........Kwa mujibu wa Radio one... Kanisa la Assembblies of God lililoko Songea mjini nalo limetishiwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana... Mchungaji Alimosa Mwasangapole amethibitisha.......
kwa nini kuwalaumu waislam? mbona usiwalaumu watu wanaotembea na CD za watu wanaopanga mauaji bila kuchukua hatua yeyote?Watukufu wai.sla.mu wamepatwa na nini?
wanaowaambia kuna mpango wa kuchomwa kanisa,wanashindwaje kuwaeleza wanaopanga ni kina nani?du.sasa tunakoelekea ni shimoni,tena shimo la kitonga,sijui kama tutapona.ccm inatupeleka kubaya.kila kitu wanawatupia chadema.haya mambo nayo baadae watawasukumia chadema kuwa inausika.
kwa nini msimwambie Mchemba aripoti polisi CD ya wanaopanga mauaji kiliko kusubiri mpaka mauaji yatokee?dah eee mungu ibariki tanzania hv kwamtindo huu tutaiona pepo kweli au tutaenda mbinguni kweli?
tabu tunayoipata ni pale mtu anakuwa na CD ya watu wanaopanga mauajilakini anashindwa kuipeleka polisi, sasa itakuwaje kwa hawa waislam wa kufikirika?Kama hawana mpango nayo basi ni vizuri, maana mkuu siku hizi WATUKUFU waislamu wameanza kutuhumiwa kwa kuchoma makanisa, kitu ambacho sio kizuri.
Mungu ataibariki vipi afrika,wakati CD za wanaopanga mauaji tunatembea nazo mifukoni hatuzipeleki Polisi?dah eee mungu ibariki tanzania hv kwamtindo huu tutaiona pepo kweli au tutaenda mbinguni kweli?
kwa nini waislam? wewe ajasikia kwamba Mchemba anazo CD za watu wanaopanga mauaji?Dah, huo msala tena, hivi inawezekana wakawa ni WATUKUFU waislamu ndio waliotishia eti?