Kanisa la Wasabato Mnapaswa Mkosoe maovu ya serikali zaidi kuliko kukosoa wenzenu wa Roman Catholic

asante kwa kugundua kanisa la Mungu halipaswi kufanya siasa
karibu tufanye injili
 
Sidhani kama uko sahihi mkuu, SDA siyo chama cha kisiasa, kwanini iingilie mambo ya kisiasa? Pia kwa msabato wa kweli haruhusiwi kujiingiza kwenye siasa!

Kwahiyo msabato kumkosoa mroma ni sahihi maana wote wako kwenye taasisi za kidini.
siasa ni sehem ya maisha ya mwanadamu , siasa ipo hadi kwenye dini , rudi darasan mkuu
 
Kanisa halihusiki na siasa

Yesu mwenyewe alikemea madhehebu ya masadukayo,mafarisayo na dhehebu la waandishi. Kwa kuacha kweli ya Mungu.

Hata akija leo atapambana kwanza na kanisa katoliki maana ndio mama wa machafuko ya kanisa.
siasa ni nin ?
 
siasa ni nin ? na viongoz wa dini kaz yao ipi katika jamii ?
 
Sasa Unafikiri nini kilichomfanya asulubiwe?

Hapa ndio tutajua kweli wewe ni Msabato kweli au jina.

Embu nipe sababu na hoja kuntu zilizomfanya yesu asulubiwe.

Alafu mimi nakupa moja tuu ambayo ni maslahi ya kisiasa ndio sababu kuu
Masilahi ya kisiasa?? Yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…