Kanisa laahirisha ndoa baada ya watarajiwa kukiri kuzini

Mchungaji anataka waendelee kuzini??
Huyo mch may be ni kibubu chake!; wivu ndio uliosukuma maamuzi yake!
 
Si ndo hao wana Yesu wao na wanafunga hadi kufa..!! Kweli wabaki nayo makanisa yao
 
Mda wangu wa kuoa ukifika naoa kwa taratibu za kimila, kule hua wanabless tu hawana noma natenga bajeti ya Ile pombe ya asili na kama Kuna mengn watanielekeza
 
Ni shida Sana mungu atusaidie ni ngumu sana kujizuia eti mpaka tufunge ndoa na ni vizur ujue mwenzio ana utamu gani wa sukar au wa limao ili ufanye maamuzi sahihi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wangekuwa kama mimi hapa wangeishi kwa amani ktk uhuru wao...ona sasa uhuru unavyoingiliwa kupitia imani..ona wale wengine wa shakahola walivyobaki mafuvu kupitia imani.
Wazungu nyie na waarabu mlichotuletea huku Africa(dini)tumekuwa watumwa tena.Tunauwana kwa mlango wa imani ya dini huku nyie huko ulaya mnabuni jinsi ya kuboresha picha za porno na uchafu mwingineo.
Haya bana Mungu amesema subirini miezi 12..endeleeni kusubiri.
Mie tunda langu nililila kabla hata ya ndoa, na hakuna mtu aliyenihukumu, tuna mwaka wa 18 ktk ndoa sasa.waliowekewa sheria kutokulana tunda, wengi walishaachana ktk muda huo.,Uhuru, uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…