Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 za siku na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa stop kuendelea na ujenzi

Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 za siku na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa stop kuendelea na ujenzi

King Kisali

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2019
Posts
1,041
Reaction score
1,349
Sakata la kanisa liliripotiwa kupiga muziki masaa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa Stop kuendelea na ujenzi na huduma ya kanisa. Notice ya kulisimamisha hii hapa, mchungaji Jackson aendelea na kiburi achana notice iliyowekwa mlangoni pa kanisa.

IMG_20210226_124256_1.jpg
IMG_20210226_124250_8.jpg
 
Back
Top Bottom