Kanisa linalo muabudu Rapper Lil Kim kutoka Marekani kama " Muungu wao mkuu" ( Supreme Goddess)

Kukmbaff na senzi kabisa
 
Hata wao wana a mini Lil Kim ni Mungu ndio maana wana muabudu
Wana sababu zozote za msingi kumuabudu Lil Kim kama Mungu wao?

Wakristu wana sababu zao
 
Hata bongo wameanza kutokea miungu watu, mwanza yupo zumaridi na makerubi wake, geodavie naye ameanza kujitukuza kuwa ana nguvu za kuponya anaelekea kujiita mungu. Vituko ni vingi kwa hawa miungu watu
 
But kuhusu Lil Kim ye ye hajajitangaza kwamba ni muungu isipokuwa ni watu wenyewe ndio wameona ana staili kuabudiwa kama muungu kama tu wanavyo fanya wafuasi wa Beyonce
 
Tatizo nini? Watu wanaabudu mpaka ng'ombe sembuse Lil Kim?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…