Hata wanaomuabudu huyo dada nao watakuwa na sababu zao.Wanao abudu ngombe wana sababu zinazo eleweka
According to who? Nani anayepanga nani aabudiwe? Hata huyo Mungu alianzishwa na watu.Anaepaswa kuabudiwa ni Mungu
SijuiHabari mbaya kwa na ni? Kwanini?
Hata hiyo miungu mnayoabudia haikujitanga bali watu ndio walioiumba na kuitangazaBut kuhusu Lil Kim ye ye hajajitangaza kwamba ni muungu isipokuwa ni watu wenyewe ndio wameona ana staili kuabudiwa kama muungu kama tu wanavyo fanya wafuasi wa Beyonce
Imani zote zimeanzishwa na binadamu wenyewe.Hapana bana Mungu hajaanzishwa na watu
Uongo ni upi. Tuonyeshe Mungu alipokuja kwa watu na kujitambulisha zaidi ya wale wanaojifanya kawatuma bila kutoa ushahidi wa lini na kwanini wao na si yeye.Sio kweli
Mbona wao hawaoni shida nyie kumuabudu Mungu wenu?Huoni shida watu Ku muabudu binadamu?
Mnamuonea gere mwenzenu kuabudiwa na kupiga vibunda mchana kweupeee.Wivu wanini?
Eeh tulia hakuna ambae hapendi Raha.Aisee