Kanisa ni wapi?

Acha dhambi, tafuta hela, tenda wema.

Hiyo ndo dini yangu karibu huku, ila sihitaji kusanyiko kila mtu atajua anaingia Jengo(kanisa) gani, me nakupa code za maisha ya ibada ya kweli tu.
 
Ivi wewe jamaa huogopi? Kusema hivyo mungu yupo mimi naweza kukuprove kabisa
Hebu prove Mungu yupo na si hadithi ulizo aminishwa na kukaririshwa.

Ueleze ulimuona wapi?

Ana muonekano gani?

Au mwambie huyo Mungu aje hapa mwenyewe ajidhihirishe yupo.
 
Acha dhambi, tafuta hela, tenda wema.

Hiyo ndo dini yangu karibu huku, ila sihitaji kusanyiko kila mtu atajua anaingia Jengo(kanisa) gani, me nakupa code za maisha ya ibada ya kweli tu.
Ibada ya kweli nini?
 
Hebu prove Mungu yupo na si hadithi ulizo aminishwa na kukaririshwa.

Ueleze ulimuona wapi?

Ana muonekano gani?

Au mwambie huyo Mungu aje hapa mwenyewe ajidhihirishe yupo.
Sio hadithi ,this is live prove
1.lugha inanitoka mdomoni?
2.nafanya ishara na miujiza
3.kwa jina la yesu natoa pepo
4.nakanyaga nyoka kwa miguu yangu
 
Sio hadithi ,this is live prove
1.lugha inanitoka mdomoni?
Kila mtu lugha humtoka mdomoni hata mimi.

Hakuna uhusiano wowote wa lugha kutoka mdomoni na mungu.
2.nafanya ishara na miujiza
3.kwa jina la yesu natoa pepo
4.nakanyaga nyoka kwa miguu yangu
Hapa hujathibitisha Mungu yupo, Bali una husishanisha vitu vilivyopo na kitu kisichokuwepo (Mungu asiye kuwepo)

Hii inaitwa, Logical non sequitur.
 
Kila mtu lugha humtoka mdomoni hata mimi.

Hakuna uhusiano wowote wa lugha kutoka mdomoni na mungu.

Hapa hujathibitisha Mungu yupo, Bali una husishanisha vitu vilivyopo na kitu kisichokuwepo (Mungu asiye kuwepo)

Hii inaitwa, Logical non sequitur.
Lugha mpya za malaika
 
Hizo ishara na maajabu ni nguvu za mungu ndani yangu
 
Kama kweli mna imani ya dini jisalimisheni kwa Muumba wenu tu.

Kuweni Waislam.
 
Woooh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…