Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
- Thread starter
- #21
Ndio jibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio jibu?
Hebu prove Mungu yupo na si hadithi ulizo aminishwa na kukaririshwa.Ivi wewe jamaa huogopi? Kusema hivyo mungu yupo mimi naweza kukuprove kabisa
Watakatifu utawakuta mbinguni.Maandiko kwenye swali namba nne? Kwamba ni amri ya mungu
Mie muslamu yakheeJobless leta jibu Acha hizo taarabu
Ibada ya kweli nini?Acha dhambi, tafuta hela, tenda wema.
Hiyo ndo dini yangu karibu huku, ila sihitaji kusanyiko kila mtu atajua anaingia Jengo(kanisa) gani, me nakupa code za maisha ya ibada ya kweli tu.
TakbiriMie muslamu yakhee
Neno la sema"napendeza na watakatifu wangu duniani"Watakatifu utawakuta mbinguni.
Nini maana ya watakatifu?Neno la sema"napendeza na watakatifu wangu duniani"
Sio hadithi ,this is live proveHebu prove Mungu yupo na si hadithi ulizo aminishwa na kukaririshwa.
Ueleze ulimuona wapi?
Ana muonekano gani?
Au mwambie huyo Mungu aje hapa mwenyewe ajidhihirishe yupo.
Hapana sitoenda nisaidie wewe?Nenda google
Kuna utakatifu,mtakatifu na watakatifuNini maana ya watakatifu?
Kila mtu lugha humtoka mdomoni hata mimi.Sio hadithi ,this is live prove
1.lugha inanitoka mdomoni?
Hapa hujathibitisha Mungu yupo, Bali una husishanisha vitu vilivyopo na kitu kisichokuwepo (Mungu asiye kuwepo)2.nafanya ishara na miujiza
3.kwa jina la yesu natoa pepo
4.nakanyaga nyoka kwa miguu yangu
Lugha mpya za malaikaKila mtu lugha humtoka mdomoni hata mimi.
Hakuna uhusiano wowote wa lugha kutoka mdomoni na mungu.
Hapa hujathibitisha Mungu yupo, Bali una husishanisha vitu vilivyopo na kitu kisichokuwepo (Mungu asiye kuwepo)
Hii inaitwa, Logical non sequitur.
Hizo ishara na maajabu ni nguvu za mungu ndani yanguKila mtu lugha humtoka mdomoni hata mimi.
Hakuna uhusiano wowote wa lugha kutoka mdomoni na mungu.
Hapa hujathibitisha Mungu yupo, Bali una husishanisha vitu vilivyopo na kitu kisichokuwepo (Mungu asiye kuwepo)
Hii inaitwa, Logical non sequitur.
Woooh!!!Hamjambo wana jf,
Kwanza nianze kujitambulisha mimi ni mkristo ninayempenda yesu.
Swali langu ninaomba kufafanuliwa juu ya maneno haya.
1. Kanisa ni mtu ama mkusanyiko wa watakatifu ama ni jengo?
Na kama ni mtu kwanini tunaenda kanisani ? Na kama ni mkusanyiko wa watakatifu mbona tunaokusanyika sio watakatofu?
2. Mwili ni hekalu la roho mtakatifu kivipi?/mbna mwili tena ni kiongozi wa dhambi?
3. Madhabahu ni utayari wa moyo wako kivipi? Na kanisani kuna madhabahu tena na huku mnasema kanisa ni mtu?
4. Swali la nne nimekuwa kuwa na mashaka sana ya kwenda kanisani kutokana na sioni hao kusanyiko la watakatifu ila kila jumapili kanisa linatumika kama viwanda vya kutolea mapepo.
View attachment 2966653
Je kuna umuhimu gani wa mimi kwenda kanisani ? Maaana haya makanisa yananipa mashaka mno !!hakuna lenye afaddhali .
Je ni kisimamia andiko hili nitakosea?
View attachment 2966657