Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
- Thread starter
- #41
Waislamu hawa hawa wa hezibollah.Kama kweli mna imani ya dini jisalimisheni kwa Muumba wenu tu.
Kuweni Waislam.
Siku nikiwa msilamu mniue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu hawa hawa wa hezibollah.Kama kweli mna imani ya dini jisalimisheni kwa Muumba wenu tu.
Kuweni Waislam.
Utajua weweSitaki utani ndugu
To yeye kama huna GPA ya 4
🤣🤣🤣 niache bhana 🥴To yeye kama huna GPA ya 4
To yeye siku zimeisha ndio maana🤣🤣🤣 niache bhana 🥴
Kabisa Kabisa...hizi ni nyakati za kuomba mkuuTo yeye siku zimeisha ndio maana
Lete andiko linalosema kanisa ni kusanyiko la watakatifu?Hapana na mashaka ya kanisa sijui ni wapi? Naomba unijibu?
Piga ua huwezikuta Jobless_Billionaire wala Jobless BillionaireAkileta za kuleta tutamchoma na kitu chenye Ncha Kali kichwani
I'm here nowPiga ua huwezikuta Jobless_Billionaire wala Jobless Billionaire
Yap yap.Ibada ya kweli nini?
Hizo nguvu ni zako mwenyewe.Hizo ishara na maajabu ni nguvu za mungu ndani yangu
Neno linasema" mpumbavu anasema moyoni mwake hakuna nguvu"Hizo nguvu ni zako mwenyewe.
Unacho jaribu kufanya ni kufosi dhana ya kufikirika unayoiita "Mungu" kwamba ndio imekupa nguvu.