LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
wakuu heshima kwenu.nilikuwa naomba msaada wenu kwa hili.
nilikuwa nataka kuagiza mashine ya kuprogram immobilizer lakini mm nilikuwa sina kadi wala acount ya paypal bali kuna mdau ambaye ni member wa hum jf ambaye first time alishawahi nisaidia nikawa nimeongea nae akasema haina shida atanisaidia.
jamaa akadai pesa nimtumie kwenye acount ya baclays nikamtumia kiasi cha laki 4 na elfu 40 baada ya kumtumia jioni akadai kuwa rate ya dola imepanda hivyo nimwongezee pesa mm nikamtumia.kwenye m pesa kiasi cha shilingi 50 elfu.matokeo yake baada ya kumtumia pesa akaanza kunikwepa nikimpigia hapokei.
nikimtumia.sms hajibu.
na now kaamua kuni block kabisa.
ushauri wenu wakuu je ni njia gani au ni namna gani naweza zifuata ili nipate haki yangu??.
na je kama nakwenda polisi nandika statement gani??
au ndio niisahau.
najua ww jamaa utapita tu hapa.
kwa kawa